Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dunia ipo tayari kumpatia mtu yeyote kitu chochote saa yeyote kila anachokitaka kama ukiiomba?
Swali ni jee nawezaje kuomba na nikapata ninavyovihitaji?
Kila kitu ni siri dunia hii, na ukiijua siri utakuwa free kwa yale uliyoyafichwa kutoyajua.
Jifunze kuomba kupata
Bravo, Ushauri mzuri sana Ahsante sana kwa niaba ya wengiKama una nia unatusua kwa muda mfupi sana before 45.
Ila ushauri wangu, unajua Age35 mwanaume anakua na pressure sana ya kumiliki fixed Assets [Kiwanja, Nyumba, Gari, Fridges, L-sofas, 41 nches Tv nk]
Ili uwin sahau kabisa hivyo vitu hapo, utafika muda utaona pesa inaruhusu unavinunua bila kuathiri kipato.
Wewe kazania tu kuweka pesa kwenye biashara, Na Kama unataka kuanzia "0" kabisa bhasi Anza na biashara ndogondogo, Anza kesho.
Save pesa kwa nguvu kadiri uwezavyo, Itumie hiyo pesa kuwekeza zaidi, wekeza, ukipata wekeza, wekeza, wekeza,,,!!
Usikimbilie kununua vitu, kila unachosave save ajili ya kuwekeza tu [Hii mifano tu 👉Tawi lingine la biashara, Ufugaji kuku au Kilimo cha mazao ya bustani like Nyanya, pilipili n.k]
Next5years utakua na kila Asset unayoipenda, Next 10 years utakua Mfano wa kuigwa.
Nimeipenda hiiKama una nia unatusua kwa muda mfupi sana before 45.

Kwa niaba ya niliyeleta uzi na wengine pia, Ipi njia nzuri sana ya kuomba na kupata unachotaka (NB; Dini mkristo KKKT)Dunia ipo tayari kumpatia mtu yeyote kitu chochote saa yeyote kila anachokitaka kama ukiiomba?
Swali ni jee nawezaje kuomba na nikapata ninavyovihitaji?
Kila kitu ni siri dunia hii, na ukiijua siri utakuwa free kwa yale uliyoyafichwa kutoyajua.
Jifunze kuomba kupata unachokitaka....
umejitahidi kushauri.wengine wameandika Pumba.Kama una nia unatusua kwa muda mfupi sana before 45.
Ila ushauri wangu, unajua Age35 mwanaume anakua na pressure sana ya kumiliki fixed Assets [Kiwanja, Nyumba, Gari, Fridges, L-sofas, 41 nches Tv nk]
Ili uwin sahau kabisa hivyo vitu hapo, utafika muda utaona pesa inaruhusu unavinunua bila kuathiri kipato.
Wewe kazania tu kuweka pesa kwenye biashara, Na Kama unataka kuanzia "0" kabisa bhasi Anza na biashara ndogondogo, Anza kesho.
Save pesa kwa nguvu kadiri uwezavyo, Itumie hiyo pesa kuwekeza zaidi, wekeza, ukipata wekeza, wekeza, wekeza,,,!!
Usikimbilie kununua vitu, kila unachosave save ajili ya kuwekeza tu [Hii mifano tu 👉Tawi lingine la biashara, Ufugaji kuku au Kilimo cha mazao ya bustani like Nyanya, pilipili n.k]
Next5years utakua na kila Asset unayoipenda, Next 10 years utakua Mfano wa kuigwa.
Nataka nijiweke kwa mtoto wa Kinyaki😁Unataka unifanye nini mkuu...
Mniache mshangazi wa watu 🤣
🤣🤣 Jichanganye 🥴Nataka nijiweke kwa mtoto wa Kinyaki😁
Kwa niaba ya niliyeleta uzi na wengine pia, Ipi njia nzuri sana ya kuomba na kupata unachotaka (NB; Dini mkristo KKKT)
Ukiona miaka imeenda speed sana na wewe umeshindwa kufanikiwa au haujui umefikaje hiyo miaka na bado huna muelekeo hiyo ni dalili Kuna nguvu ya wachawi au Mizimu ya ukoo inazui mafanikio yako njoo tujiunge na maombi ya usiku utaanza ona mabadiliko na kujua shida ni niniYaani
Tayari ngoma inasoma 35, hujajenga, hujaoa, huna kazi, huna biashara, huna connection yoyote.
Ila vitu ulivyokuwa navyo, una kitanda tayari na mashuka yako na baadhi ya vitu vya ndani, Una degree yako moja, umeamua kurudi nyumbani hapa hapa Dar kwa mzee kujipanga upya, mzee nae amekupokea na amekupa support ya kukwambia kaa mpaka pale wewe utakapo amua kuondoka tena na kwenda kuhusle.
Nafsi yako inasema utatoboa ila kila ukishika simu unaona, kuna yule mwanao wa chuo kaoa, mara unaona kuna mwanao wa secondari kanunua Crown athlete then kaandika God is Good.
Wazoefu ebu tupeni mbinu za hali na Mali, mambo yashaharibika huko.
Sasa mbona kama huwa nakutamani hivi😋🤣🤣 Jichanganye 🥴
😆Unipige miti?Sasa mbona kama huwa nakutamani hivi😋
Sana yani, rangi na shavu lako huwa linanitamanisha, au sio ww huwa unajiweka kwny avatar??😆Unipige miti?
🤣🤣🤣Not me...Sana yani, rangi na shavu lako huwa linanitamanisha, au sio ww huwa unajiweka kwny avatar??
Kidoti flani hivi😋
😂😂 usinifanyie hivyoo basi😁🤣🤣🤣Not me...
Ndiyo maana nimesema jichanganye mkuu!