Ukiwa na miaka 45 bila nyumba jitafakari

Hao matajiri unaowaona wananing'inia kwenye maghorofa ya watu/msajili huko Masaki; wengi wana mijengo yao Mbweni, Mabwepande na maeneo mengine yaliyopangwa vizuri wanasubiri tu miji Ikue!
 
habari ndiyo hiyo
 
Wanaume wa kitanzania ua dunia nzima?maana wale wahindi wanaomiliki mahoteli yenye gorofa mpaka kumi na zaidi kule Kariakoo na upanga wengine wana umri wa zaidi ya miaka 60 lakini wamepanga...
 
hapa nazungumzia watz
 
Habarini wakuu, mukihitaji ramani nzuri msisite kututafuta kwa 0715477041, pia mwaweza tembelea link hii kujionea baadhi ya kazi zetu

Habarini wakuu, mukihitaji ramani nzuri msisite kututafuta kwa 0715477041, pia mwaweza tembelea link hii kujionea baadhi ya kazi zetu

Hao matajiri unaowaona wananing'inia kwenye maghorofa ya watu/msajili huko Masaki; wengi wana mijengo yao Mbweni, Mabwepande na maeneo mengine yaliyopangwa vizuri wanasubiri tu miji Ikue!
Huko walikoyajenga si wameyapangisha? Which means hawakujenga kwa ajili ya kuishi kama tufanyavyo wafanyakazi wengi, wamejenga kwa ajli ya ku generate pesa through hayo majengo
 
Zinduka upo kwenye usingizi wa pono
 
Huko walikoyajenga si wameyapangisha? Which means hawakujenga kwa ajili ya kuishi kama tufanyavyo wafanyakazi wengi, wamejenga kwa ajli ya ku generate pesa through hayo majengo
Huko nilikokutajia kote biashara ya kupangisha wala haijafika.

Huko ni mtu anaweka mjengo anaishi mwenyewe...

Au au anaweka mwangalizi tu, anavuta muda mji usogee!

Au 'kauficha' mchepuko! [emoji10][emoji23]

Kama una fursa ya kujenga sasa, usiichezee...
Kuna mambo ya nyumaaazzz geukaaa!!!
Utadhalilika!
 
Mkuu hapa tunawazungumzia WAFANYABIASHARA wakubwa, sio sisi wa hapa na pale, yaani middle class na lower class. MATAJIRI hawajengi kaka, tunao jenga ni sisi wafanyakazi na wafanyabiashara wa kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…