Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana ajualo.kwa maelezo ya mdau
Hao matajiri unaowaona wananing'inia kwenye maghorofa ya watu/msajili huko Masaki; wengi wana mijengo yao Mbweni, Mabwepande na maeneo mengine yaliyopangwa vizuri wanasubiri tu miji Ikue!Mkuu kwanini umechukulia kuwa nyumba ndio kipimo cha kujitafakari?
Inabidi tuanze kubadili mitazamo yetu sasa. Hivi unajua kuna matajiri wengi sana na ni matajiri haswa ila wananing'inia kwenye magorofa tu ya msajili na nyumba za watu masaki na wana maisha bora mara 1000 yako?
Wanaume wa kitanzania ua dunia nzima?maana wale wahindi wanaomiliki mahoteli yenye gorofa mpaka kumi na zaidi kule Kariakoo na upanga wengine wana umri wa zaidi ya miaka 60 lakini wamepanga...Mwanaume akifikisha miaka 45 hadi 50 hapo kibongo bongo walio wengi ndo angalau huwa yuko vizur kimaisha na hii ni kutokana na changamoto za maisha tunazokutana nazo kwenye maisha katika kujipanga na kujiweka sawa kimaisha...
Ila kama hauna hata haka na uko na miaka 45 hadi 50 hapo inabidi kujitafakari upyaa ni wakati wa kuamka toka usingizini.....
Asikuambie mtu kuwa mwanaume sio jambo dogo na jepesi hata kidogo[emoji848][emoji848]
View attachment 2078457View attachment 2078458View attachment 2078459View attachment 2078455
Kwa sauti ya Hayati Sefu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usitutishe!
Chumba kimoja nayo ni nyumba?,ilo litakua geto mkuuHii nyumba ya kuishi mtu?
Duh! Kweli mtu chake siyo Kwa kujiamin ukondio, si waona kuta nne hizo?
Cha muhimu kulala ndani ndugu yanguChumba kimoja nayo ni nyumba?,ilo litakua geto mkuu
[emoji23]kwel kbsCha muhimu kulala ndani ndugu yangu
Huko walikoyajenga si wameyapangisha? Which means hawakujenga kwa ajili ya kuishi kama tufanyavyo wafanyakazi wengi, wamejenga kwa ajli ya ku generate pesa through hayo majengoHao matajiri unaowaona wananing'inia kwenye maghorofa ya watu/msajili huko Masaki; wengi wana mijengo yao Mbweni, Mabwepande na maeneo mengine yaliyopangwa vizuri wanasubiri tu miji Ikue!
Zinduka upo kwenye usingizi wa ponoHuko walikoyajenga si wameyapangisha? Which means hawakujenga kwa ajili ya kuishi kama tufanyavyo wafanyakazi wengi, wamejenga kwa ajli ya ku generate pesa through hayo majengo
Huko nilikokutajia kote biashara ya kupangisha wala haijafika.Huko walikoyajenga si wameyapangisha? Which means hawakujenga kwa ajili ya kuishi kama tufanyavyo wafanyakazi wengi, wamejenga kwa ajli ya ku generate pesa through hayo majengo
Mkuu hapa tunawazungumzia WAFANYABIASHARA wakubwa, sio sisi wa hapa na pale, yaani middle class na lower class. MATAJIRI hawajengi kaka, tunao jenga ni sisi wafanyakazi na wafanyabiashara wa kawaida.Huko nilikokutajia kote biashara ya kupangisha wala haijafika.
Huko ni mtu anaweka mjengo anaishi mwenyewe...
Au au anaweka mwangalizi tu, anavuta muda mji usogee!
Au 'kauficha' mchepuko! [emoji10][emoji23]
Kama una fursa ya kujenga sasa, usiichezee...
Kuna mambo ya nyumaaazzz geukaaa!!!
Utadhalilika!