Hata akifa atakuwa ameacha alamaJenga Nyumba. Maana baada ya kujenga Nyumba haufi. Utapata pesa nyingine
Biashara Tanzania?? Hiyo m50 kuna hela humo za TRA na wafanyakaz wa TRA kuna jamaa angu alinishangaa sana kujenga house akasema hizo noti ungepga business but yeye leo kafiriska kabsa alijiingiza business ya ku buy cow asee karud nyuma hatua 100.. kwa nchi ya tz labda biashara ndogo kwa sisi ambao uchumi unapanda na kushukaUkiwa na milioni 50 utajenga nyumba au ufanye biashara upate faida NDO ujenge?
Umeipata wapi hiyo hela?Ukiwa na milioni 50 utajenga nyumba au ufanye biashara upate faida NDO ujenge?
Miaka miwili , milioni Mia 500, sawaChukua hela iyo ipige biashara kama sio muoga wa hizi kazi then baada ya miaka miwili urakuwa ushapata milion zaidi ya mia 500 hapo sasa utaanza kujenga nyumba tena zaidi ya moja
Tena kama unaishi mkoani nyumba ndio bei rahisi sana hata kama una familia ya watu wengi unapata stand alone nzuri ndani ya uzio kwa bei rahisi kabisaFanya business, nyumba bongo sio bei ghali, wengi tumekariri kujenga ndio kufanikiwa tusijue past generation iliwalazimu kujenga sababu hakukua na nyumba za kupanga kama sasa hivi, hata business ikifeli bado huwezi kosa namna ya kuishi na kuendelea kupambana zaidi, ya nini kujenga huku unainyima familia kula au kujibana kwenye maisha mafupi haya??
Kama una familia Jenga banda la uwani la kuishi lisilozidi milioni 15.
Kisha milioni 20 fungulia biashara.
Milioni 10 weka fixed bank kama dharura biashara ikifeli ama kuitaji mtaji zaidi.
Nilioni 5. Iwe ya kusogeza matumizi ya kila siku wakati biashara inajitafuta
Biashara ngumu, lazma nipate kibanda kwanzaUkiwa na milioni 50 utajenga nyumba au ufanye biashara upate faida NDO ujenge?
Inategemea hiyo 50m umeipataje?Ukiwa na milioni 50 utajenga nyumba au ufanye biashara upate faida NDO ujenge?