KERO Ukiwa na mkopo Songesha hupati mkopo benki

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Ni kweli,ndo maana wale wakopeshaji wa twiga na wenzake,wakiona una mikopo hawakupi.
Itoshe kusema mikopo ya simu ni mitamu sana.shida kulipa
 
Huku kwetu Rwanda hata kama una deni la maji unawekwa CRB na mkopo huezi kupata sehemu yotote kwa hio siku hizi ni kulipa madeni yako yote hata ya songesha kwa kua iko regulatated na Central bank
 
Dawa ya deni kulipa haijalishi umekopa kwa mtu au bank. Watanzania wengi ni wagumu kulipa madeni lakini kukopa kila kukicha.
Mtu na akili zake timamu anakukopa halafu anakuzimia simu, huu ni ujinga .
Kuna watu wa 2 niliwakopesha wakiwa na shida lakini wame block simu zangu. Utu ni kazi Tanzania.
 
Huku kwetu Rwanda hata kama una deni la maji unawekwa CRB na mkopo huezi kupata sehemu yotote kwa hio siku hizi ni kulipa madeni yako yote hata ya songesha kwa kua iko regulatated na Central bank
Sasa kama nataka nikope ili nilipe deni la maji 😀. Haya mambo haya ni hatari
 
MGODI wana dai 640k na sina mpango wa kukopa Benki .tawalipa ila sio leo
 
Mie nilisafiri kwenda nje ya nchi na mkopo wa kamilisha elfu42 na nina miezi mitatu sijarudi.

Nikirudi sijui itakuwa je.
ukirudi utakuta line imefutwa (inactive number ) unless iko huduma za kibank
 
Kuna mtu juzi kanikopa laki tano 500000/= anadai TIMIZA mpaka jana hawajamkopesha na hawamdai na ana rekodi nzuri ya kuwalipa mimi nikampa ila mpaka leo anasema TIMIZA hawajampa hela.
 
Habari. Mrejesho wa suala lako ukoje. Je umechukua hatua gani mpka Sasa. Vip umefanikiwa ku clear Hy high risk. Na Mimi yamenikuta nimeenda kukopa bank naaambiwa nadaiwa. Nahitaji kujua nifanyaje
 
Habari. Mrejesho wa suala lako ukoje. Je umechukua hatua gani mpka Sasa. Vip umefanikiwa ku clear Hy high risk. Na Mimi yamenikuta nimeenda kukopa bank naaambiwa nadaiwa. Nahitaji kujua nifanyaje
Pole, unakopa kama mtumishi au mjasiriamali?
 
Nakopa kama mtumishi kupitia mfumo wa Ess
Last week kuna jamaa yangu kavuta mkopo kupitia ESS na ana vimeo karibu kampuni 2 za simu. Kwa mtumishi hilo nadhani haliwezekani kwani dhamana yake iko wazi kabisa ni mshahara wake. Na mfumo ukiingia unakuonyesha kabisa kuwa uko eligible kukopa, na kiasi hadi cha makato kwa mwezi. Labda inategemea benki na benki
 
Ni kero kubwa sana hii,hususa Bank ya NMB naona ndo wamelishikilia kidete yaani ukidaiwa hata elfu 10 Songesha wao hupati mkopo wa Bank
 
Habari. Mrejesho wa suala lako ukoje. Je umechukua hatua gani mpka Sasa. Vip umefanikiwa ku clear Hy high risk. Na Mimi yamenikuta nimeenda kukopa bank naaambiwa nadaiwa. Nahitaji kujua nifanyaje
Mrejesho nilipata mkopo ,lakini baada ya kuandika barua kwenda Kwa Bank manager nikiambatanisha na screen short ya SONGESHA inayonesha Sina Mkopo ,hapo ndio nilipopata mkopo rafiki
 
Mrejesho nilipata mkopo ,lakini baada ya kuandika barua kwenda Kwa Bank manager nikiambatanisha na screen short ya SONGESHA inayonesha Sina Mkopo ,hapo ndio nilipopata mkopo rafiki
Bank gani??
 
Bank gani mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…