KERO Ukiwa na mkopo Songesha hupati mkopo benki

KERO Ukiwa na mkopo Songesha hupati mkopo benki

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Uongo mtakatifu,
Nina songesha hapa na nimepata mkopo nmb, na crdb,
Kwanza uelewe mikopo inakatiwa BIMA,
acha kudanganya watu
 
Yaani niende NMB leo naomba milioni 17 salaried loan wanigomee kisa nina mkopo songesha wa elfu 80😁😁.

Kama ni mfumo imara kabisa na ni lazima kuufanyia kazi basi,itakuwa inalazimika kulipishwa deni husika kupitia mkopo mpya(top up like),kuliko kugoma kabisa kutoa mkopo,hakuna benki imejaza mbulumundu itakubaliana na mfumo huo utakaosababisha kukosa wateja kijinga jinga tu.

Mfumo wa marejesho ya mikopo ya bank kwa mishahara sio wa hiyari,ukiishachukua hela unakatwa kwa lazima,hiyo high risk alart haina maana kabisa hapo kwa wazee wa hazina.
 
Songesha na mikopo mingine ya simu imepelekea watumishi kunyimwa mikopo wanapoenda bank kukopa, na hii ni kutokana na mamlaka zinazosimamia mikopo kuweka utaratibu wa madaraja high risk, risk na low risk katika kadiri mteja anaposongesha.

Hilo limetokea leo mimi mwenyewe nilipoenda bank na kuingia kwenye mfumo wa ESS Utumishi, bank walivyoingia na kutumia mkopo ukawa rejected, nikaenda Voda nikawalipa Songesha yote lakini bado mfumo ulisoma high risk.

Nawashauri wale ambao hamjaingia kwenye hili jini songesha msijaribu, mbeleni litawaleta shida.

Mamlaka zinasimamia Mikopo hili la simu hasa mikopo ya Nivushe, Songesha, Gold, Bustisha ziwe na term of condition, yaani taratibu za mwanachama kukubali.
Mie nilisafiri kwenda nje ya nchi na mkopo wa kamilisha elfu42 na nina miezi mitatu sijarudi.

Nikirudi sijui itakuwa je.
 
Mikopo yote inayopitia kwenye simu kama Songesha nyuma yake kuna bank. Kwa mfano. Songeshahutolewa na TCB. Na hii mikopo yote husajiliwa kwenye credit bureau.

Credit bureau ni Database ya wakopoja. Kadri unavyokopa na kulipa hii database ina kupa rates ambazo wakopeshaji wanaweza kuzitumia kufanya assesment kama unakopesheka au la.

Cha msingi siyo kuacha kukopa, ila ni kukopa na kulipa kwa wakati.
Kwahio Mwigulu alivyopiga mkwara kumbe hakua na taarifa Sahihi? Duh
 
Ujanja ujanja kama huu ndio unasababisha watanzania wengi ngozi nyeusi kubwa wagumu kupewa mikopo wahindi,waarabu na wapemba hukopeshana Bila maandishi na hulipana Bila shida yeyote

Mhindi akienda kukopa benki ndani ya Siku moja tu mkopo anapewa sababu walipaji wazuri mswahili ngozi nyeusi unampa mkopo Mfano Bila maandishi anaanza ujuaji Lete ushahidi kama ulinikopesha shahidi Yako nani Nenda mahakamani huko Mimi haujawahi nikopesha

Ukipewa mkopo Bila longolongo na unapolipa lipa Bila longolongo usilete longolongo kwenye kulipa

Ndio maana mabenki uuweka Hata riba juu sana na usumbufu mwingi Kwa mkopaji mswahili ngozi nyeusi kutaka madhamana kibao na yenyewe Hadi benki ihangaike kuhakiki sababu aweza leta fake documents ni shida.

Wao wamekukopesha Bila kelele Bila longolongo kulipa hulipi unaleta longolongo ndio maana Sasa hivi wanalink na credit reference bureau wakopaji ambayo huleta longolongo kulipa wanazobwa kote kwenye benki yeyote asipate mkopo abakie na ujuaji wake huko mtaani au aende akakope kule Kwa watoa mikopo kausha damu Sio kwenye mabenki
Ngozi nyeusi shida sana
 
Ngozi nyeusi shida sana
ngozi nyeusi janjajanja sana[emoji1787]sio msomi sio ngumbaru ukizubaa kidogo anakupiga kitu kizito.

nliona kwa wasomali uaminifu ni mtaji muhimu sana yani wakigundua mmojawao ni mpigaji wanaweza hata kumuondoa maana anawaharibia wengine wote.
 
Uongo mtakatifu,
Nina songesha hapa na nimepata mkopo nmb, na crdb,
Kwanza uelewe mikopo inakatiwa BIMA,
acha kudanganya watu
Kama mlipaji mzuri hakuna shida watakupa tu hata ukope benki na mitandao yote na benki zote

Kimbembe kinakuja kama sio mlipaji mzuri popote ulipokopa iwe songesha nk

Hapo Wanakushughulikia kikamilifu.
 
Songesha na mikopo mingine ya simu imepelekea watumishi kunyimwa mikopo wanapoenda bank kukopa, na hii ni kutokana na mamlaka zinazosimamia mikopo kuweka utaratibu wa madaraja high risk, risk na low risk katika kadiri mteja anaposongesha.

Hilo limetokea leo mimi mwenyewe nilipoenda bank na kuingia kwenye mfumo wa ESS Utumishi, bank walivyoingia na kutumia mkopo ukawa rejected, nikaenda Voda nikawalipa Songesha yote lakini bado mfumo ulisoma high risk.

Nawashauri wale ambao hamjaingia kwenye hili jini songesha msijaribu, mbeleni litawaleta shida.

Mamlaka zinasimamia Mikopo hili la simu hasa mikopo ya Nivushe, Songesha, Gold, Bustisha ziwe na term of condition, yaani taratibu za mwanachama kukubali.
Waliozoea kudhulumu au kutolipa wakibanwa huona wameonewa.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom