Mnajaribu kutumia nguvu nyingi kuelezea kitu ambacho hakipo. Ukiwa blacklisted kwasababu ya mkopo haĺafu ukalipa na umewekewa hiyo status mnayosema, sio kwamba unakosa mkopo. Unachotaiwa kufanya ni kuchukua kitu kinaitwa "loan clearance statement" taasisi iliyokuwa inakudai ikitoa hiyo statement status ya high risk inaondolewa.
Mfumo huo umeanzishwa maalumu kuweza ku track madeni ya mtu kabla hajaingia kwenye mkopo mwingine, sio ku block mtu asiweze kukopa.
Ndiomaana nasema humu kuna wachangiaji wa mada hii ambao ni wafanyakazi wa hizi songesha and the like maana hamsemi uhalisia
Sent from my SM-E045F using
JamiiForums mobile app