Ni kweli wengi wanakopa halafu wanatupa Lakini na kucheka Cheka kibwege kuwa nimewakomoa songesha nk alivyo mjinga anadhani deni liko kwenye line ya simu hajui kuwa deni liko benki na halifutiki linaendelea tu kuzaa riba kuongezeka Siku akipeleka maombi yake ya mkopo benki inakula kwake hapatiWaliozoea kudhulumu au kutolipa wakibanwa huona wameonewa.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Halafu anaanza kukia Lia humu