Ukiwa na mpenzi ambaye hawezi kuendana na wewe lazima uteseke

Ukiwa na mpenzi ambaye hawezi kuendana na wewe lazima uteseke

The Eric

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2019
Posts
6,446
Reaction score
10,976
Habarini wote!

Nafikiria tu wakuu japo mimi siyo mlengwa hasa hasa ninachofikiria japo ipo haja ya kufahamu duniani kuzaliwa ni bahati na kama utayapatia mapenzi na mwenza wako hakikisha sana unapata mwenza mnaye kuwa na furaha na uhuru muda wote hata kama vumba hakuna ( Yaani Vumba lisiwe chanzo cha kuharibu furaha yenu).

Kwa mimi ninavoona wote lazima mwendane kimawazo na kimtazamo kwanza, kama ni hali ya kuridhika wote mtosheke na mkubali maisha mnayoishi ni sehemu nzuri tu na mnaweza kufika hatua nzuri kuliko jana. Accept challenges lazima muishi vizuri tu (la msingi hapa ni wote mridhike na mtosheke).

Lazima usmart uwepo kama kupangilia vitu na kila kinachowazunguka mfano nyumbani mnapoishi hata pawe padogo au mmepanga kuanzia usafi mpaka facilities zilizopo kusiwe na uchakavu au resources zozote zinazopotea ovyo lazima kila kitu nyumbani kipangiliwe for sustainability (economically yaani lazima muwe wachumi kwa kidogo mpaka kikubwa) standards za maisha zina anzia hapa wakuu.

Demu lazima asiwe mshamba lazima awe ni mtu civilized kidogo kama anaweza au amesha adapt western culture basi huyo unaweza enjoy naye na akawa anaelewa tips zote utazompa lakini kama tu na wewe utakuwa ni mwanaume pekee unayejiamini (mwanaume ukishafeli kwenye self confidence basi umeharibu).

Ushamba unaokera wa mwanamke wako kama hutompata unaye switch naye unaanzia pale demu mnatoka naye labda kumtoa lunch au dinner (tufanye nguo ulishamnunulia za kutokea out kavaa zika mkaa demu mshamba lazima atakuuliza umenunua shilingi ngapi?ukimwambia 15,000 kama ni mshamba ataruka wewe mbona bei hivo ungenipa pesa nikanunue mwenyewe 😅😅 badala aseme thanks darling) wakati wa outing hapa ndio ninawavuaga mademu vyeo yaani demu mshamba hapa huwa hana ujanja (Uncivilized lazima uwajue na amna kazi kama kumfundisha mjinga).

🍜Utakuta demu unaagiza a certain menu ataanza kuuliza bei ya chakula ni shilingi ngapi wakati mshakaa, yaani nikisikia demu analalamika bei huku anasema una hela nyingi sana si unisaidie badala ya kuacha hapa zote yaani namuona mshamba coz sisi tumetoka kubadili mazingira kula na kunywa.

😳Sio siku zote mfuko uko vizuri sasa kuna demu mwingine mshamba mnatoka nyumbani mshakula fresh unamtoa out unaagiza maji makubwa, yeye anaona unakunywa maji anakuangalia usoni kwa kutaka aagize kiepe kuku, demu mjanja anatakiwa aagize maji makubwa au alipe bills ya kiepe kuku chake alichoagiza na akuambie kabisa baby i will clear my bills, yaani anashindwa kujua nyumbani hamko good kipesa....

Asee acha niachie keyboard wakuu lakini mademu au wenza washamba na wanaokera na kutokuleta furaha ni wengi bora upate anaye jua kuswitch na wewe. Ongezeeni tabia za wenza wasio taka furaha na uhuru wao wananuna tu kila saa.

IMG-20210610-WA0005.jpg
 
Extrovert Hawa kina ebitoke mkuu tunawaita kuku wa kienyeji hawa wana kiharufu cha kienyeji hadi kwenye papuchi.

Demu naye mtaka ni yule ambae hanikeri asiwe wa kununa nuna na kukuza vitu,
nataka yule naspend naye home ile kuwatch TV yaani ananipa vibe mara kavaa shati langu mara ananiziba macho kiutani utani mara ananikwapua remote, mara anazima taa ghafla, mara anikwapue sahani yaani I really like mwanamke wa hivi aje hata PM....😋
 
Pale ndoto zinapojiandaa kwa mazoezi makali kuishinda mechi ya uhalisia...
Hahaha mkuu unataka kusema kwamba nakuwa na illusion yaani ninaota mambo yasiyowezekana 😅😅 yaani ishu ni kupata mnaye endana you match between each other.
 
alubati jambo gani hilo mkuu kama mwanamke wako ana akili na kashajua wewe ni ubavu wake hivyo hana haja ya kupepesa pembeni maana anaridhika na kupata furaha na uhuru kwenye maisha.
 
Extrovert Hawa kina ebitoke mkuu tunawaita kuku wa kienyeji hawa wana kiharufu cha kienyeji hadi kwenye papuchi.

Demu naye mtaka ni yule ambae hanikeri asiwe wa kununa nuna na kukuza vitu,
nataka yule naspend naye home ile kuwatch TV yaani ananipa vibe mara kavaa shati langu mara ananiziba macho kiutani utani mara ananikwapua remote, mara anazima taa ghafla, mara anikwapue sahani yaani I really like mwanamke wa hivi aje hata PM....😋
Aanze kuja kwangu mkuu, raha wa hivyo akupe amani ya nafsi 😛😛😛 asiwe na mambo mengi tu ile ana mijitu anachat nayo kwa siri yani mjanja mjanja mie huwa siinjoy Yani manjonjo ya kike yawepo wepo ila pia awe mtulivu mdomoni na muaminifu bas burudani! Tone iwe warm with countless smiles aisee naoa hata kesho!
 
Hahaha mkuu unataka kusema kwamba nakuwa na illusion yaani ninaota mambo yasiyowezekana 😅😅 yaani ishu ni kupata mnaye endana you match between each other.
Ukweli mchungu ni huu, perfect match in marriage ni myth... Hata ikitokea couples hawatadumu. Tunaishi ktk ndoa ili tuyapende na kuvumilia mapungufu ya wengine.
 
Extrovert Hawa kina ebitoke mkuu tunawaita kuku wa kienyeji hawa wana kiharufu cha kienyeji hadi kwenye papuchi.

Demu naye mtaka ni yule ambae hanikeri asiwe wa kununa nuna na kukuza vitu,
nataka yule naspend naye home ile kuwatch TV yaani ananipa vibe mara kavaa shati langu mara ananiziba macho kiutani utani mara ananikwapua remote, mara anazima taa ghafla, mara anikwapue sahani yaani I really like mwanamke wa hivi aje hata PM....[emoji39]
Da mwamba naona unatembea na ndoto zangu hahaha ^^^^
 
Extrovert Hawa kina ebitoke mkuu tunawaita kuku wa kienyeji hawa wana kiharufu cha kienyeji hadi kwenye papuchi.

Demu naye mtaka ni yule ambae hanikeri asiwe wa kununa nuna na kukuza vitu,
nataka yule naspend naye home ile kuwatch TV yaani ananipa vibe mara kavaa shati langu mara ananiziba macho kiutani utani mara ananikwapua remote, mara anazima taa ghafla, mara anikwapue sahani yaani I really like mwanamke wa hivi aje hata PM....[emoji39]
Oooh,kumbe wewe onaonekana una utoto mwingi sana ndo maana,
Sasa haya mambo uloandika ni bora angeandika mtoto wa kike
 
Extrovert Hawa kina ebitoke mkuu tunawaita kuku wa kienyeji hawa wana kiharufu cha kienyeji hadi kwenye papuchi.

Demu naye mtaka ni yule ambae hanikeri asiwe wa kununa nuna na kukuza vitu,
nataka yule naspend naye home ile kuwatch TV yaani ananipa vibe mara kavaa shati langu mara ananiziba macho kiutani utani mara ananikwapua remote, mara anazima taa ghafla, mara anikwapue sahani yaani I really like mwanamke wa hivi aje hata PM....😋
Ngoja nikupe ushauri kutoka na hili ulilioandika.
1. Punguza au acha vitu vifuatavyo
Kuangalia movie za kikorea
Kupiga PUNYETO.
Baada ya hapo tafuta kazi ya kufanya utanishukuru badae
 
Mpaka unaingia kaburini hata wa kupretend ivo humpati
 
Back
Top Bottom