Ukiwa na mpenzi ambaye hawezi kuendana na wewe lazima uteseke

Ukiwa na mpenzi ambaye hawezi kuendana na wewe lazima uteseke

Ukimpata huyo malaika hapa ulimwenguni basi ni sawa na chemi chemi iliyoibuka kalahari desert
Au unaweza pata wa hivyo akakosa kimojawapo maana vijana wana viwango vyao wanadai
Kazi zinanusa mfuko balaa kama mbwa wa airport. Hakuna appreciation wanapiga kukomoa😂😂😂
Mnyazi akushushie hitaji lako Boss from Street
 
Mwanamke unayemtafuta, hayupo duniani.

Jaribu kumcheki Kwenye sayari ya PLUTO
 
Extrovert Hawa kina ebitoke mkuu tunawaita kuku wa kienyeji hawa wana kiharufu cha kienyeji hadi kwenye papuchi.

Demu naye mtaka ni yule ambae hanikeri asiwe wa kununa nuna na kukuza vitu,
nataka yule naspend naye home ile kuwatch TV yaani ananipa vibe mara kavaa shati langu mara ananiziba macho kiutani utani mara ananikwapua remote, mara anazima taa ghafla, mara anikwapue sahani yaani I really like mwanamke wa hivi aje hata PM....[emoji39]
Hapa umetafuta pisi kijanja muzee
Teh teh teh teh
 
Kwenye upendo kuna kushirikiana kwa kila kitu wewe msaidie baadhi ya kazi umsimtegemee kila kitu, saidianeni wote
 
Ukimpata huyo malaika hapa ulimwenguni basi ni sawa na chemi chemi iliyoibuka kalahari desert
Au unaweza pata wa hivyo akakosa kimojawapo maana vijana wana viwango vyao wanadai
Kazi zinanusa mfuko balaa kama mbwa wa airport. Hakuna appreciation wanapiga kukomoa😂😂😂
Mnyazi akushushie hitaji lako Boss from Street
Daaah inategemea na lifestyle la mwanaume anavo ishi hapa bongo ni mashida yetu yanafanya tuone ni ngumu kuishi kwenye furaha.
 
Mwanamke unayemtafuta, hayupo duniani.

Jaribu kumcheki Kwenye sayari ya PLUTO
Yupo mkuu sema mapungufu madogo madogo hawezi kosa kama binadamu. Kila kitu kinaanzia kwenye upstairs ya kwake.
Na mtaka cha uvunguni shariti ainame huwezi ishi naye kama huna jitihada kadhaa za kumshawishi abaki na wewe, na hata ukimfanyia kila kitu akakuacha tu hatoka hakusahau, kama kuna kurudi anaweza kupigia magoti hapa na kwa madiba anaomba msamaha. 😅😁

Matajiri wangapi wanafail kuwaliwaza wake zao mwisho wanachapiwa na makapuku kutokana na kapuku anajua kumliwaza na kumpeleka mama ulimwengu mwingine.
 
Hapa umetafuta pisi kijanja muzee
Teh teh teh teh
Pisi kali yoyote lazima ipoe kwangu mkuu, mi nawaambiaga watu wapo mademu wanagombea men mmoja, tena pisi kali kinoma ila huyo men unaeza kuta hana cha maana anachomiliki zaidi ya car kama crown athlete au mark X
 
Extrovert Hawa kina ebitoke mkuu tunawaita kuku wa kienyeji hawa wana kiharufu cha kienyeji hadi kwenye papuchi.

Demu naye mtaka ni yule ambae hanikeri asiwe wa kununa nuna na kukuza vitu,
nataka yule naspend naye home ile kuwatch TV yaani ananipa vibe mara kavaa shati langu mara ananiziba macho kiutani utani mara ananikwapua remote, mara anazima taa ghafla, mara anikwapue sahani yaani I really like mwanamke wa hivi aje hata PM....[emoji39]
uhalisia haupo hivyo. we unataka mapenzi ya kimuvimuvi. bado una utoto.

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
kulingana na hii post ndo nmeanza kuelewa Biblia kitabu Cha wakorinto pale iliposema "HAKUNA ANAEJUA ATAKACHO MWANAUME KWA MWANAMKE " kwakwel nyinyi wanaume Ni explainable [emoji1751][emoji1751][emoji1751] oh omg
Explanable ukimaanisha we mens tuna eleweka tunachohitaji kwa mwanamke si ndio, mfano mi nahitaji furaha na uhuru tu.
 
Mimi ndo saizi namtamani huyo mshamba aisee.
Kuna joys moment utamiss ukiwa na demu ambaye ni mzito kuelewa mazingira. Am sure she must let you down at some point and you will become disappointed.
 
Mkuu utoto eeeh when it comes to joys moment hakuna kujilimit na kusema kuna utoto somewhere, don't be source of your own stresses mkuu. We only live once.
i mean ur wishes are childish. kwa mtu mwenye experience na mahusiano hawezi kutamani mapenzi ya kutekenyana sijui kupigana na mito sijui kubusubusu.. mwanaume mwenye experience anataka mwanamke atakaemskiliza na asieshindana nae. hivo vingine ni extra tu na havilazimishwi wala kuigizwa vinatokea tu

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
i mean ur wishes are childish. kwa mtu mwenye experience na mahusiano hawezi kutamani mapenzi ya kutekenyana sijui kupigana na mito sijui kubusubusu.. mwanaume mwenye experience anataka mwanamke atakaemskiliza na asieshindana nae. hivo vingine ni extra tu na havilazimishwi wala kuigizwa vinatokea tu

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Mkuu jaribu kuplay part yako ipasavyo mwanamke anahitaji uhuru hii kitu wala mimi naweza nisifaidi kama huyo mwanamke anavyo faidi wanawake wanao pewa nice treatment huwa wanafaidi mnoo kuliko wanao wapa. Mimi namtengenezea uhuru.
Your main point unataka mwanamke akusikilize yaani uwe ni mtu wa kutoa orders and commands as if mko vitani mzee 😅😅 any way vipi akawa mnafiki anaplay fair home kukusikiliza na hashindani na wewe ila hana uhuru na wewe kila akikuona.
Amna kitu wanawake wengi wanakipenda kama uhuru yaani icho wanapenda tafuta namna ya kumfanya mtu wako awe huru kwako utafurahi sana.
 
Mkuu jaribu kuplay part yako ipasavyo mwanamke anahitaji uhuru hii kitu wala mimi naweza nisifaidi kama huyo mwanamke anavyo faidi wanawake wanao pewa nice treatment huwa wanafaidi mnoo kuliko wanao wapa. Mimi namtengenezea uhuru.
Your main point unataka mwanamke akusikilize yaani uwe ni mtu wa kutoa orders and commands as if mko vitani mzee [emoji28][emoji28] any way vipi akawa mnafiki anaplay fair home kukusikiliza na hashindani na wewe ila hana uhuru na wewe kila akikuona.
Amna kitu wanawake wengi wanakipenda kama uhuru yaani icho wanapenda tafuta namna ya kumfanya mtu wako awe huru kwako utafurahi sana.
nice treatment zipo na kusikilizwa kupo. find a woman that can do both, respect you as a man and have fun with you.
ushawah kupata mwanamke wa kuchezacheza nae?

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom