Ukiwa na mpenzi ambaye hawezi kuendana na wewe lazima uteseke

Ukiwa na mpenzi ambaye hawezi kuendana na wewe lazima uteseke

Navyopenda life la kuspend time na mwenza tukifanya vtu mbali mbali ila nnaowapata ss. unaliambia jtu tucheze karata haljui ah!!
Hahahaha pole Sana mkuu ..yule unayemuwaza humpati unapata wa tofauti kabisa.
#Singapore[emoji630]
 
Extrovert Hawa kina ebitoke mkuu tunawaita kuku wa kienyeji hawa wana kiharufu cha kienyeji hadi kwenye papuchi.

Demu naye mtaka ni yule ambae hanikeri asiwe wa kununa nuna na kukuza vitu,
nataka yule naspend naye home ile kuwatch TV yaani ananipa vibe mara kavaa shati langu mara ananiziba macho kiutani utani mara ananikwapua remote, mara anazima taa ghafla, mara anikwapue sahani yaani I really like mwanamke wa hivi aje hata PM....[emoji39]
Naona uko ndotoni...

Yote hayo yatakuwepo ukiwa na hela [emoji3][emoji3]
 
Navyopenda life la kuspend time na mwenza tukifanya vtu mbali mbali ila nnaowapata ss. unaliambia jtu tucheze karata haljui ah!!
Hahahahah, mfundishe, ajue. Mi napenda cheza play station ( pes & fifa) but bidada nileye nae alikua hajui hivyo vitu kama vina exist katika hii dunia, so nilibidi niingie darasani kumfundisha mpaka saivi ni master wa pes.

All weekend lazima tukiwashe kwanza game hadi tunasahau mambo mengine.so kikubwa kenywe mahusiano ni kukubali kua mwalimu na mwanafunzi ataenjoy maisha na kuhisi uko peponi.

Ila mwanamke anaemtaka mtoa mada mhhhhh!!!!!
 
wengine wagumu, ubze tu
 
Likizo time hizi...mpaka shule zifunguliwe.

Kuwa dogo utayaona.....
 
Jamaa anataka wale madem wa Cape Town fish Market [emoji23]
Sio hao kaka wale wako kazini broh wale pia wana wapenzi wao wakifika ndani anakuwa wife material chap, yaani mara nyingi mume hufaidi madanga yake so mume karidhia mwanamke wake awe hivo. Dar kuna mambo! 😁
 
Mazingira ndio yanakufnya upate mtu wa aina gani itokee tu bahati mfno shule chuo kazini migahawani hotel kama umezoea kuspend maeneo ya kitajiri migahawani na hotel na kazin ni sehem nzur ambayo watu waliopo ni smart bac unaweza kupata mtu wa aina yako ila kama ww mwenyew kula ni mama ntilie nguo maduka ya kawaida vyakula kwa mangi kazini usafiri daladala na mwendokasi halafu upate mtu ambae ana sifa zote uanzozitaka za watoto wa kishua kwa kweli ni kazi sana mazingira mtakayokutana bac yatakupa picha halisi ya mtu unataka awe

Rich person pia from rich family
Educated one
Family oriented
Beautiful one
Smart
Awe amezoea kuish bei za vyakula
Masaki kwenye mall supermarket private fares
Intelligent
Mwenye uezo wa kutambua na kuelewa situation kwa kukusoma tu hali yako

Ni ngumu hivo vitu vinategemea na ubongo wa mtu mazingira aliokulia na kukutana nae wapi vipi huezi kupata never kama na ww huna sifa zinazoendana
At least wewe ndio umeelewa zaidi ninachokizungumza wakati 78% hapa wanasema ni impossible kukutana na mtu civilized na mwelewa.
You deserve an accolaide if it was for task left for you to attempt. ✅✅✅

Watu wanaenjoy life inshort there's somes who live life to the fullest while others they exist wanaunga unga ili mradi giza liingie. Nothing is impossible under the sun tena maisha ya sasa everything has been simplified.
 
Amka wewe kumekucha usije kojoa kitandani.
Ndiyo nani anaambiwa naashakuwa mtu mzima aseee life kama ndio unakimbizana nalo wewe tulia tu watu walishamaliza races wanasubiri kufa.
 
At least wewe ndio umeelewa zaidi ninachokizungumza wakati 78% hapa wanasema ni impossible kukutana na mtu civilized na mwelewa.
You deserve an accolaide if it was for task left for you to attempt. [emoji736][emoji736][emoji736]

Watu wanaenjoy life inshort there's somes who live life to the fullest while others they exist wanaunga unga ili mradi giza liingie. Nothing is impossible under the sun tena maisha ya sasa everything has been simplified.

Inawezekana ila ndio hivo kutegemea na mazingira ya mtu husika
 
Nadh

Nadhani kijana either tamthilia au imagination zako zisizo za uhalisia zinakusumbua pengine ukikua utamshukuru Mungu ukimpata hata huyo mshamba, maana hapa unavyoongea tu unaonekana wewe ndio mshamba au limbukeni wa either mapenzi au maisha hujayajulia. Ukikua utakuja kujua why Kuna wanawake wao wanapaswa kuwa michepuko tu na hata siku moja hawapaswi kuvuka mstari na kua mke rasmi
Mkuu tafuta pesa upate chaguo lako 😅😅😅😅😅😂😂😂
 
Navyopenda life la kuspend time na mwenza tukifanya vtu mbali mbali ila nnaowapata ss. unaliambia jtu tucheze karata haljui ah!!
💜💜💜 We unapenda makopa kopa ila lijamaaa halijui 😅😁😁 alikuwa anasoma sana mkuu.
 
Alafu demu mshamba ndo advantage ya msela, hawa mademu wa kujifanya wajuaji ni kero...unaweza muachia hela ya mboga ye akanunua wanja, lipstick na wigi ili hali mlitakiwa mle vizuri,
Hela ya mboga shilingi ngapi mkuu 😅😁😁
 
Men are totally different. Huwaga mnasema hivi lakini u act differently after sometime.
Yupo mtu ana maisha unique huwezi amini yaani yeye siyo mshika mawili. There's smart ones you can find them out there...
 
Mimi mwanamke wangu Ana tabia zote hizo ulizoandika, hahahaha aise ni fully burudani wakuu.

Mtoa mada waeleze vijana ukipata girl Kama huyo aise utaenjoy life Sana. Uzuri Zaid kanizalia ka girl kazuri Kama yeye ..[emoji1][emoji1][emoji1] next week atatua hapa Hougang, Singapore kula maisha na baba la baba hahaha
#Singapore[emoji630]
Kama hutanii mkuu 😅 basi congrats broh you deserve an accolaide.
 
Likizo time hizi...mpaka shule zifunguliwe.

Kuwa dogo utayaona.....
Mkuu nakuona ulivo kuwa kwa shemeji umekalia situli unatype tu nakuona nakuona, yaan do you compare me with those students? that is an expensive joke daaah! 😅Next time manipulate your thinking mkuu.
 
Back
Top Bottom