Ukiwa na mpenzi ambaye hawezi kuendana na wewe lazima uteseke

Hao unaowawazia katika maisha yako hawapo duniani na huwezi kumpata mkamilifu, wote binadamu tupa mapungufu ila upendo ndiyo unaofunika au kuondoa mapungufu, unayemtaka mwombe mungu akutengenezee wa kwako special kama atafanya hivyo
 
Jiepushe na tamthilia za Kikorea, ila kama umri wako bado na upo shule endelea kidogo…. ndoto za kutisha hizo.

Usiku utapokwisha.
 
Oooh,kumbe wewe onaonekana una utoto mwingi sana ndo maana,
Sasa haya mambo uloandika ni bora angeandika mtoto wa kike
Sasa mama nini maana ya furaha kwenye maisha kukunjiana ndita kila saa ndio chanzo cha kufa mapema aisee, wala sio utoto
 
Jiepushe na tamthilia za Kikorea, ila kama umri wako bado na upo shule endelea kidogo…. ndoto za kutisha hizo.

Usiku utapokwisha.
Alafu sinaga huo mchezo wa tamthilia
 
Ngoja nikupe ushauri kutoka na hili ulilioandika.
1. Punguza au acha vitu vifuatavyo
Kuangalia movie za kikorea
Kupiga PUNYETO.
Baada ya hapo tafuta kazi ya kufanya utanishukuru badae
Sawa
 
Mungu siyo mjinga wewe peleleza ndoa nyingi amechanganya kwelikweli,

Ukiwa mtu wa viwanja utakutana na mtu hajui grandmalta ni kinywaji gani
Ukiwa mtu wa kufatlia mishe zako yeye kutwa kucha kufatilia shishi na ndoa yake au nuh mziwanda karudia matapishi
MUNGU anachanganya bob
 
😁😁 Daah basi noma sana hii.
 
Hao unaowawazia katika maisha yako hawapo duniani na huwezi kumpata mkamilifu, wote binadamu tupa mapungufu ila upendo ndiyo unaofunika au kuondoa mapungufu, unayemtaka mwombe mungu akutengenezee wa kwako special kama atafanya hivyo
Na bila upendo amna furaha, upendo kwanza unaeza kuta demu wako ni mubishi kupika au hafanyi usafi chumbani huo ndio udhaifu au ni mbeya.
 
Wapo mkuu hata huyo kama ebitoke sijui mshamba wa wapi uko ukimtreat taratihu na akakuelewa unapenda nini mbona atakufanyia unachotaka. Sasa tatizo linakuja wewe kwake sio mtu wa utaji wa ivo ni kauzu ila unataka yeye ndo awe anakufanyia iyo michezo. Aisee utawabadili sana na hutampata.
 
kulingana na hii post ndo nmeanza kuelewa Biblia kitabu Cha wakorinto pale iliposema "HAKUNA ANAEJUA ATAKACHO MWANAUME KWA MWANAMKE " kwakwel nyinyi wanaume Ni explainable [emoji1751][emoji1751][emoji1751] oh omg
 
Ukweli mchungu ni huu, perfect match in marriage ni myth... Hata ikitokea couples hawatadumu. Tunaishi ktk ndoa ili tuyapende na kuvumilia mapungufu ya wengine.
Kulamba dume siyoπŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…