Ukiwa na mpenzi ambaye hawezi kuendana na wewe lazima uteseke

Naona uko ndotoni...

Yote hayo yatakuwepo ukiwa na hela [emoji3][emoji3]
Kwani mkuu pesa kuna mtu hana kabisa, sema it depends on expenses sasa ishi kadiri ya kipato chako. Wengi wanao jishughulisha na kazi either waajiriwa au waliojiajiri kwa biashara ndogo wengi 80% wana earning not less than 250,000 per month. Do your simple maths utashindwa kuongeza kipato au kujikwamua tena in 6 months if you're earning 250K kwa mwezi lets say na uko pekee yako huwezi shindwa kitu ukiamua lakini tofauti na mwenye mshahara wa laki kwa mwezi.
 
Mshamba sio mjinga
Tofauti ya mshamba na mjinga ni hii hapa.
Mshamba anafanya kitu akijua anapatia yaani anafanya akijua yuko sawa na atasifiwa labda.

Mjinga yeye hajui lolote na akifanya anafanya madudu yaani anaharibu.
 
Singidani sio
 
Kwasie tuliokomaa kiakili huwa tunamaanisha tusemacho! Wavulana ndio hubadilika badilika tu
Ula kweli. Hapa kwa wavulana i do agree. Yaan hawajuagi wanataka nini. U dedicate ur life to them lakini bado watahangaika kukutafutia makosa kama refarii kwenye match. Mukishapataga sehem zingine za kukojoleaga huwa ni tatizo sana
 
Jiepushe na tamthilia za Kikorea, ila kama umri wako bado na upo shule endelea kidogo…. ndoto za kutisha hizo.

Usiku utapokwisha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Msimtishe jaman, anaweza pata wake wa namna hiyo.... Kwani si ni life tu
 
Mapenzi ya kwenye tamthilia hayo. Bahati mbaya huwa hayana uarithia zaidi ya kudanganywa tu
 
Ngoja nikupe ushauri kutoka na hili ulilioandika.
1. Punguza au acha vitu vifuatavyo
Kuangalia movie za kikorea
Kupiga PUNYETO.
Baada ya hapo tafuta kazi ya kufanya utanishukuru badae
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ula kweli. Hapa kwa wavulana i do agree. Yaan hawajuagi wanataka nini. U dedicate ur life to them lakini bado watahangaika kukutafutia makosa kama refarii kwenye match. Mukishapataga sehem zingine za kukojoleaga huwa ni tatizo sana
Yan ndo Mana me sikuhiz sihangaiki na hiv viumbe Mana Kama biblia tu imeshindwa kuwadifine sisi Ni kina Nani mpaka tuweze....? [emoji1751][emoji1751]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…