Ukiwa na mpenzi ambaye hawezi kuendana na wewe lazima uteseke

Mkuu tafuta pesa upate chaguo lako πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ungejua Familia yako naweza ihudumia hata miaka kadhaa usingeongea ila najaribu kukuonyesha reality ambayo vijana wengi wa Sasa Wana ignore thus wengi wao wanapatwa na stress na msongo wa mawazo unao sababisha mgonjwa ya akili na hata mawazo ya kujiua simply kwasababu they don't want to make best use of their reality
 
Tatizo sio kupata mtu mwenye anayekidhi vigezo hivo je wewe mwenyewe una hadhi ya kuwa na mtu mwenye vigezo hivyo?
Binaadamu tumeumbwa kutaka vitu vilivyo nje ya uwezo wetu...walio wengi wana ndoto kama yako lakini tukija kwenye uhalisia mahusiano mengi hayapo hivo.Ukiwa na mwenza/mpenzi ambaye ni rafiki yako mloshibana vilevile ni rahisi kuwa na vigezo ulivyotaja. You can start from there!
 
Unasafari ndefu kijana.
Dogo nahisi wewe pia bado mshamba tu
 
Nakushauri achana na tamthilia za kifilipino na kihindi mkuu acha kabisa
 
Khaa! Hizo sasa fujo mkuu [emoji28][emoji28]
 
Mwanamke mshamba na asiye na akili hufanya yafuatayo:

1)Ukichelewa toka kazini anakuombea mabaya mfano ufukuzwe kazi au atakwambia utakufa na kwa Ukosefu wa kinga Mwilini/ naona ulikuwa kwa malaya zako.

2) Hupiga simu zaidi ya mara 3 wakati anajua upo kazini au una majukumu unayatenda ila atakwambia maneno machafu kama ukiwa na malaya wako hutaki kupokea simu zangu. Mwanamke mjanja na mwenye akili usipopokea simu yake atakutumia meseji "call back when you're free. I love you babe."

3) Utaniambia nini wakati unapokea mshahara mbuzi yaani elimu kubwa ila unalipwa mshahara wa askari polisi au mwalimu wa shule ya msingi.

4) Kukulinganisha na wanaume wengine au kwa namna yoyote.
 
Mkuu, we unawataka ma drama queen..,wenye ma unyamwezi nn ,[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] mkuu wale kuwagharamia tuu ..huwez ...achilia mbali kuwafanya wa settle in a single r/ship.
 
Pisi kali yoyote lazima ipoe kwangu mkuu, mi nawaambiaga watu wapo mademu wanagombea men mmoja, tena pisi kali kinoma ila huyo men unaeza kuta hana cha maana anachomiliki zaidi ya car kama crown athlete au mark X
Unasemea ulimbo tena
Hapo lazima wanase mkuu
Kama na wewe upo na crown au mark x utakua na ushuhuda wa hili
 
Unasemea ulimbo tena
Hapo lazima wanase mkuu
Kama na wewe upo na crown au mark x utakua na ushuhuda wa hili
Kweli mkuu hiyo gari huwa hawatoki πŸ˜πŸ˜…πŸ˜… ni classic car ever
 
Mkuu kwenye ule uzi nilisubiri muongozo wako wa Singapore hadi leo kimya..!!
 
Kupata mpenzi mnaendana ni mtihani kuzidi wa UE. Watu mnatulaumu kuwa tunapenda pesa ila sio pesa tu ndio pesa napenda coz najua kuzitafuta ila when it comes to mpenzi inabidi muendane kidogo jamani.

Yaan unakuta mwingine yupo yupo tu kha.

God have mercy on us
 
Kuendana ni muhimu couple should match. hawa waswahili pasua kichwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…