Ukiwa na mtaji mdogo ufanyeje ili upate faida?

Ukiwa na mtaji mdogo ufanyeje ili upate faida?

Mkuu hii kamba na vumbi ni kamba za Nini na vumbi la nin nijue
Mabaki ya mipira ya ndani
Vumbi ni kwa wale wanao retread tyres
Kuna vile vipande pia kwa wanaotengeneza ndala za kimasai kwa kutumia mipira
 
Mabaki ya mipira ya ndani
Vumbi ni kwa wale wanao retread tyres
Kuna vile vipande pia kwa wanaotengeneza ndala za kimasai kwa kutumia mipira
Samahani mkuu mshana kwenye upande wa tyre je ni aina zote za tairi ata za pikipik zilizoisha uzito tuh ufikie Tani 1 ndyo hiyo 120k ama Kuna aina tuh za used tyre ndyo zinahitajika?
 
Samahani mkuu mshana kwenye upande wa tyre je ni aina zote za tairi ata za pikipik zilizoisha uzito tuh ufikie Tani 1 ndyo hiyo 120k ama Kuna aina tuh za used tyre ndyo zinahitajika?
Zote zinafaa kubwa na ndogo
 
400 kwa lita nahitaji kama lita laki 2 au tatu unayo?
Tairi kubwa tani 80,000 lakini inaweza kupanda ama kushuka, tairi ndogo 120,000 nayo inaweza kupanda na kushuka
Kamba na vumbi 100,000
Vp bado unahtaji?
 
Back
Top Bottom