Ukiwa na mtaji mdogo ufanyeje ili upate faida?

mkuu Mshana Jr naweza kukusanya mzigo wa tairi wa kutosha(Ndani ya Pwani) lakini nikakosa usafiri wa kufikisha mzigo kigamboni,je mnaweza kufuata na kuchukua mzigo ukiwa mkubwa?
 
Kuna kiwanda kiko madafu unaweza kupeleka huko pia usijali
 
Kwa ushauri soko lake unalipataje mkuu baada ya kununua
Migodini
Watunza nafaka
Wauza maji
Waosha magari
Majumbani
Wakulima wa maua na mboga mboga
Wauzaji na wakusanyaji wa oil chafu nknk
 
Sio lazima kaka
Habari mkuu, shukrani kwa mchango wako japo nmechelewa kuupata, mimi nilikuwa mnunuzi wa scrap lkn hii idea yako ni nzuri maana niliko(Mbeya) material haya yapo ila changamoto inaweza kuwa gharama za usafiri nikicalculate na gharama za ununuaji, utunzaji mpaka nisafirishe itakuwa hasara kwangu

Kama kuna namna yanaweza fanyika mazungumzo zaidi mawasiliano yako nitahitaji tuweze kujengana
 
Yapo matairi au ule unga?
Hapo pata magari yanayorudi tupu ndio yenye nafuu nitakupa mawasiliano yangu PM
 
Mkuu mshana hiyi ya tair hiy ungesema mapema nilikuwa na uwezo wa kujaza scania mbili kwani kilo shingapi mkuu?
 
Tairi tani laki moja lakini bei sio stagnant
 
Back
Top Bottom