Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chukua tank 10 kwa one M kauze kwa 1.3 fastaView attachment 2177356View attachment 2177357View attachment 2177358
nitakutafuta mkuu unipe connection ya kupeleka mzigo baada ya kuukusanya[emoji120]Kuna kiwanda kiko madafu unaweza kupeleka huko pia usijali
Habari mkuu, shukrani kwa mchango wako japo nmechelewa kuupata, mimi nilikuwa mnunuzi wa scrap lkn hii idea yako ni nzuri maana niliko(Mbeya) material haya yapo ila changamoto inaweza kuwa gharama za usafiri nikicalculate na gharama za ununuaji, utunzaji mpaka nisafirishe itakuwa hasara kwanguSio lazima kaka
Yapo matairi au ule unga?Habari mkuu, shukrani kwa mchango wako japo nmechelewa kuupata, mimi nilikuwa mnunuzi wa scrap lkn hii idea yako ni nzuri maana niliko(Mbeya) material haya yapo ila changamoto inaweza kuwa gharama za usafiri nikicalculate na gharama za ununuaji, utunzaji mpaka nisafirishe itakuwa hasara kwangu
Kama kuna namna yanaweza fanyika mazungumzo zaidi mawasiliano yako nitahitaji tuweze kujengana
Matairi na kamba za tairiYapo matairi au ule unga?
Hapo pata magari yanayorudi tupu ndio yenye nafuu nitakupa mawasiliano yangu PM
Shukrani kwa elimu nzuri, nyingine ni ile ya mifuko ya kg25 iwe ya unga,ngano au sukari kwa dar unanunua 100 - kisha unauza mkoani 250Iko wapi? Iko kiasi gani?