Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lengo kupata maelezo zaidi mkuu kwa kuwa umejaribu kuonyesha njia mbalimbali za kujikwamua ni ivyoo tuu chief.Poa ila hebu nipe hint kidogo
Mikoani unanunua?Yeah una mzigo?
SawaOk sawasawa tuonane PM
Poa mkuu ngoja nikuchek tu kigambonMabaki ya mipira ya ndani
Vumbi ni kwa wale wanao retread tyres
Kuna vile vipande pia kwa wanaotengeneza ndala za kimasai kwa kutumia mipira
Mkuuu...Naomba ufafanuzi kwenye Kamba hapo na Vumbi?400 kwa lita nahitaji kama lita laki 2 au tatu unayo?
Tairi kubwa tani 80,000 lakini inaweza kupanda ama kushuka, tairi ndogo 120,000 nayo inaweza kupanda na kushuka
Kamba na vumbi 100,000
Ahsante Sana.. nitakutafuta unipe madini zaidi kwenye biashara ya waste!Kamba ni wire, vumbi ni lile baada ya kuchoma tairi
Kwa ufupi, Mungu kila kiumbe chake amekipa mtaji wa kitu fulani akifanyie kazi ili kuzalisha apate faida. Kitu iko ni talanta au kipawa kinachotarajiwa kimpe mafanikio mtu hatua kwa hatua, ingawa mwanzo wake ni mdogo, lakini wake utakuwa mkubwa.[emoji419][emoji375]UNA NI NINI UNACHOMILIKI SASA HIVI ?!
Kwa ufupi, Mungu kila kiumbe chake amekipa mtaji wa kitu fulani akifanyie kazi ili kuzalisha apate faida. Kitu iko ni talanta au kipawa kinachotarajiwa kimpe mafanikio mtu hatua kwa hatua, ingawa mwanzo wake ni mdogo, lakini wake utakuwa mkubwa.
Ni vema kila mtu kujitambua yeye anamiliki nini kama mtaji aliojaliwa na Mungu aliyeumba; iwe ni pesa au kitu cha kuanzia maisha kwa kufanyia kazi na kupata faida; iwe katika sekta ya kilimo, mifugo, biashara, elimu, ufundi na kadhalika.
Kuajiariwa si kipaumbele tukitaka faida kubwa; ila mahali pa kuanzia kujipanga kimaisha na kuanzisha miradi mbalimbali midogo kwa ndoto kuwa itageuka kuwa miradi mikubwa tukiifanya kibiashara na kisomi zaidi.
Hivyo kila mtu asinie makuu kupita ilivyompasa kunia; bali awe na nia ya kiasi, kama Mungu alivyomgawia kila mtu kiasi cha uwezo au neema au Karama au kipaji kama apendavyo aliyetuumba; ili apate kuzalisha na kupata faida katika mpango wa Mungu.
Ukipata nafasi jiunge WhatsApp chanel ya mkufunzi Dr. Peter Mkufya, PhD; ambaye ni mtaalamu wa projects ideas/business ideas.
Hakuna gharama ya kujiunga WhatsApp chaneli kupitia MKUFUNZI