Ukiwa na mwanamke Tanzania, gharama utakazoingia kwa mwezi mmoja tu ni bodaboda mbili

Kuna wanaume wengi sana. Wanapitia haya sababu kubwa ni wameshindwa kuwa ALPHA MALES

Wapo wachache sana wanaojilia mema ya Nchi pasi na Kutoa hata senti, bahati mbaya notes zimefungiwa kabatini.

CHA MTU HULIWA NA MTU WAKUU

Ni kweli Kabisa.
Huwaga ninashangaa kijana mdogo kipato chake cha mwezi ni Chini ya 1M akitoa Pesa.
Yote hayo ni Kwa sababu ya kutokujiamini, kutokujua kutongoza, kutokuwa mjanja.

Unatoa Pesa ili iwe nini,
Mbona wengine tunapewa bure
 
......kwa mwanaume unapokuwa kwenye hatua za kutafuta mwenza sahihi kwakweli gharama kiasi haziepukiki, so after sometimes utakuwa umeona nani anakufaa na nani anakufilisi, Sasa unapoamua kudeal na mwanamke ambaye umeshaona ni wa vizinga eti kwa sababu ana zile added advantages(lips, hips, titi & wowowo) basi huna budi kugharamia hizo packages, no complains....kutobika mfuko wakati mwingine ni maamuzi yetu wanaume, tuendelee kuzisaka.......
 
Nilishawahi kuandika hapa kwamba "kizuizi cha kwanza kwa mwanaume kupata maendeleo kiuchumi ni mwanamke" wanawake wanachezea pesa za wanaume pasi kujali,pasi huruma wala aibu.
 
Nilishawahi kuandika hapa kwamba "kizuizi cha kwanza kwa mwanaume kupata maendeleo kiuchumi ni mwanamke" wanawake wanachezea pesa za wanaume pasi kujali,pasi huruma wala aibu.
Inategemea upo na mwanamke wa aina gani. Kuna wanawake ukiwa nao wao ndio wanakua chachu ya maendeleo kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…