Siri ya sifuri
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,335
- 1,967
Nakubali, ila ni bahati sana kumpata.Inategemea upo na mwanamke wa aina gani. Kuna wanawake ukiwa nao wao ndio wanakua chachu ya maendeleo kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwani hao wanawake wanawake wanaofata ndoa ili wabebewe majukumu ya wazazi wao.Tunayoona haya.
Wao ufuata ndoa kwa maana ya mtu wa kuwabebea majukumu ya wazazi wao na sio kujua nini maana ya ndoa.Thus kupitia ndoa wakishapata wakitakacho usahau, dharau kibao
Kila mtu na mzigo wake,Mkuu kwani hao wanawake wanawake wanaofata ndoa ili wabebewe majukumu ya wazazi wao je kwani hao wanawake si wana kaka zao na dada zao kwani wao hawawezi kushirikiana kuwasaidia wazazi wao mpaka watafute ndoa ili ndiyo wasaidie wazazi wao? mfano wewe Utakubali Mume wa Dada yako asaidie wazazi wako wakati wewe upo na ndugu zako wapo?
Bora kununua malaya tuuu 5k inatosha kuchapa. Saa zima
Wewe hukumpenda yaani unasusa kisa umepewa elfu tano🤣🤣🤣🤣🤣 Afu ukiomba sio lazima upewe madam,,,,,,au nyie mnadhani ni lazima mpewe???Ni kweli tukipenda tunaogopa kuonekana after money na si kwamba hatuombi kabisa ila utaomba kwa nadra sana tena pale unakuta umekamatwa hasa umekopa kote umekosa ndo unaamua kujitoa muhanga kumuomba uyoo mwanaume wa future.
Niliwai kujaribu kua decent kwa mwanaume niliehisi atafaa kua mume sikuomba pesa hata kidogo nilivunja mbaka kanuni zangu nolizojiwekeaga nikawa nafanya kila kitu kwake ni mtu mwenye kazi nzuri tuu cha ajabu labda aliona kapata mseleleko hakuwahi kujiongeza kunipa pesa
Siku nikaamua nimwambie sina nauli akanipa 5000. Mahusiano yaliishia hapo.
Mbaka leo analialia eti yuko tayari kuja kutoa mahari kwetu nikamwambia umekaa muda sana kukuruhusu kunirudia ni kukuonyesha sina chaguo kitu ambacho si kweli..wanaume wengi sana wanaojielewa siku ikifika nitakupa kadi ya harusi yangu, akanikatia cm.
Sasa wee ulitaka nauli ya kiasi gani?Ni kweli tukipenda tunaogopa kuonekana after money na si kwamba hatuombi kabisa ila utaomba kwa nadra sana tena pale unakuta umekamatwa hasa umekopa kote umekosa ndo unaamua kujitoa muhanga kumuomba uyoo mwanaume wa future.
Niliwai kujaribu kua decent kwa mwanaume niliehisi atafaa kua mume sikuomba pesa hata kidogo nilivunja mbaka kanuni zangu nolizojiwekeaga nikawa nafanya kila kitu kwake ni mtu mwenye kazi nzuri tuu cha ajabu labda aliona kapata mseleleko hakuwahi kujiongeza kunipa pesa
Siku nikaamua nimwambie sina nauli akanipa 5000. Mahusiano yaliishia hapo.
Mbaka leo analialia eti yuko tayari kuja kutoa mahari kwetu nikamwambia umekaa muda sana kukuruhusu kunirudia ni kukuonyesha sina chaguo kitu ambacho si kweli..wanaume wengi sana wanaojielewa siku ikifika nitakupa kadi ya harusi yangu, akanikatia cm.
Sasa wewe alipokupa hiyo 5000 si ungemwambia tu kuwa haikutoshi na kwann utegemee mtu ajiongeze na ameshakuonyesha hana tabia ya kutoa?!Ni kweli tukipenda tunaogopa kuonekana after money na si kwamba hatuombi kabisa ila utaomba kwa nadra sana tena pale unakuta umekamatwa hasa umekopa kote umekosa ndo unaamua kujitoa muhanga kumuomba uyoo mwanaume wa future.
Niliwai kujaribu kua decent kwa mwanaume niliehisi atafaa kua mume sikuomba pesa hata kidogo nilivunja mbaka kanuni zangu nolizojiwekeaga nikawa nafanya kila kitu kwake ni mtu mwenye kazi nzuri tuu cha ajabu labda aliona kapata mseleleko hakuwahi kujiongeza kunipa pesa
Siku nikaamua nimwambie sina nauli akanipa 5000. Mahusiano yaliishia hapo.
Mbaka leo analialia eti yuko tayari kuja kutoa mahari kwetu nikamwambia umekaa muda sana kukuruhusu kunirudia ni kukuonyesha sina chaguo kitu ambacho si kweli..wanaume wengi sana wanaojielewa siku ikifika nitakupa kadi ya harusi yangu, akanikatia cm.
Mmmmmmhmn acha roho mbaya basi na ubinafsi. Sasa kama Baba yako, kaka zako, wajomba zako wote hao kwapamoja wameshindwa kukusaidia kulipa kodi it means wewe sio wa matawi hayo unayojiweka utateseka sana.Dah!sijui huu ubahili wenu mtaacha lini[emoji848][emoji3525]
Hamna kama anampenda aende wakaishi pamoja.Anakupenda,pesa ya mpenzi wako Ni tamu Sana[emoji3]
🤣🤣🤣🤣Hutaki kupendwa wwHamna kama anampenda aende wakaishi pamoja.
Punguza hasira,tafuta hela...Mmmmmmhmn acha roho mbaya basi na ubinafsi. Sasa kama Baba yako, kaka zako, wajomba zako wote hao kwapamoja wameshindwa kukusaidia kulipa kodi it means wewe sio wa matawi hayo unayojiweka utateseka sana.
Ukiona jambo unalotaka hata familia yako unayotokea hawana uwezo wa kulimudu then jua hauna haki ya kudemand mwanaume yoyote yule akufanyie kwa lazima au kwa wewe kutaka.
Dhambi kubwa sana mnafanya kuwabebesha watoto wa wenzenu magharama ambayo hata familia zenu hawaziwezi.
Kuna mabinti anaishi kwa kulipa kodi yake na hata akikwama anaweza piga simu nyumbani kwao tena kwa mama tu akatumiwa muamala na akasolve issues zake. Huyo sasa hata mwanaume akidate nae watakwenda sambamba.
Sasa sio kwenu njaa halafu unataka kuleta ushujaa feki huku mtaani kuwa wewe upo vema na unaweza kuishi maisha ya gharama ambayo hamuwezi kuyamudu.
Ubinadamu ni kazi sana aisee.
Siku mtakapoamka kwenye huu usingizi wa mawenge ndipo mtaelewa kuwa wanaume ndio tunawafundisha ujinga wa tamaa hawa wanawake.Hakuna kizuri kisicho na gharama, hapa namzungumzia Mwanamke wa malengo sio hao wakununua hovyo.
Mwanamke wako ni muhimu kumfanya aone sababu ya kuendelea kuwa na wewe na yote haya ni yanawezekana kwa kumpenda, kumjali na kumthamini.
Malaya ndio haandaliwi.
Ndio dunia ilipofikia kwa sasa kwa walio wengi. Kizuri kina gharama hata vitu vingine kwenye maishaSiku mtakapoamka kwenye huu usingizi wa mawenge ndipo mtaelewa kuwa wanaume ndio tunawafundisha ujinga wa tamaa hawa wanawake.
Yaani umlipe mtu kuwa katika mahusiano halafu unaita ndio ujanja au akili?!
Mazafaka kudadadeki.
Simuhitaji tena wala hakua na madeni mkikaa ana kazi ya kukusimulia mala ooh hii gari nataka niuze ninnue nyingine aagh.Sasa wewe alipokupa hiyo 5000 si ungemwambia tu kuwa haikutoshi na kwann utegemee mtu ajiongeze na ameshakuonyesha hana tabia ya kutoa?!
Unajua shida yenu wanawake huwa mnapenda sana kuhisi vitu badala ya kuongea mkaeleweka. Unaweza kuta mwanamke anaona mwanaume anachangamoto fulani yeye badala ya kudadisi kwa kuuliza anaanza kuhisi na kujipa majibu, yaani tabia fulani ya kichawi aisee.
Wewe ulitakiwa uketi nae chini umwambie kuhusu tabia yake kuwa maisha hayaendi hivyo, unamshauri kuwa mwanaume unatakiwa kuishi namna hii na mwanamke sio namna hiyo. Asipobadilika hata siku ukisema nimeshindwa anaelewa.
Sasa ona kama huyo ni wewe ndie ulimuacha yeye hakukuacha, halafu alipokutafuta jambo la kwanza amependekeza ni kuja kwenu kukutolea posa akiamini tatizo ni kuchelewa kukuposa sasa atakuwa amedhania kuwa tatizo ni alikupotezea muda ndio ukaondoka kumbe sivyo.
Hivi unaona wanawake mnapochemkaga?! Unaweza kuta jamaa malengo yake ni kutoa kwa mkewe ila sio mwanamke anayeishi nae kisela. Pengine akioa anampatia mkewe hadi password ya kadi ya bank na pesa anashika mkewe.
Nakwambia hii from experience. Nilishawahi kuwa na demu wa akili hizi hizi. Alikuwa anahisi mimi ni bahiri kumbe mimi nilikuwa sipendi arrangements zake namna anaishi na mimi. Na kichwani nilikuwa nimepanga vitu vingi sana maana kidogo kidogo nilishaanza kumuona ni mwanamke ambaye kachagua kubakia na mimi.
Kuweni makini sana kuna wanaume pesa yake utaiona ukishakuwa mkewe wa ndoa maana amejiwekea misingi hiyo na huyo mwanaume hutakuja kuta anahonga wanawake nje ya ndoa jambo ambalo wanawake huwa mnaliogopa sana kusikia mume wako anampatia pesa mwanamke nje ya ndoa yenu.
Sasa wewe unaondoka kibubu bubu ukitegemea jamaa ataelewa. Unamkasirikia kisa amekupa 5000 kwann usingekaa nae chini umpe makavu yeye atajua cha kufanya. Unaweza hisi mtu ni mchoyo kumbe ana madeni lukuki huko nje analipa wewe umemkuta na madeni unahisi ni mchoyo.
Jitafakari sana hiyo tabia yako. Umefanya ubinafsi wa hali ya juu aiseee halafu unahisi umefanya ushujaa. Huo ni ushamba umefanya.
Kabisaaa tukipenda hatuombi pesa hasa pesa ndogondogo hatutaki kuonekana wapenda pesa. Kumbe tunapenda.Sasa wee ulitaka nauli ya kiasi gani?
Dah kwa hiyo sie tunaopigwa mizinga ni kwamba sio husband material kabisa.