Hisia hazipo kwenye pesa,hiyo mifumo ni ya wanaume waliozoea masculinity....
Ila kuna sisi wanaume wenye hela za mafuta na tunadate na wanawake wenye pesa zao wala hawaombiombi hela....
Wanachofata kwetu ni ngono wanayoikosa kwa wanaume wenye misimamo ya kibwege kama yako.