Mwanasayansi Kalivubha
JF-Expert Member
- Feb 4, 2024
- 344
- 926
UKIWA NA PESA MACHAGUO YANAONGEZEKA BILA HEKIMA UTAPOTEZWA UELEKEO
UKIPATA PESA MACHAGUO YANAONGEZEKA HII NDIO SABABU YA KESI NYINGI ZA KUSEMA KABADILIKA BAADA YA KUPATA PESA.
Wengi wanashauri ni vizuri kutafuta mwenzi kabla hujapata pesa ila mimi naona huu ushauri ukiungia kichwa kichwa utajikuta kwenye matatizo mengi la sivyo uwe na akili kubwa katika kuufanyia kazi.
Mwanamke akiwa hajapata uelekeo ni rahisi kumkubalia yoyote kwa mfano akiwa yupo mtaani hana kazi ila ana vyeti anaweza kukubalia yoyote kimahusiano ila amini na kwambia wengi wao wakijapata baadaye ndio wataanza kuona machaguo mengi na wewe uliyechaguliwa kabla utaonekana uliingia kwenye mfumo bahati mbaya
Vivyo hivyo hata kwa wanaume wengi wakiwa hawana pesa hupunguza vigezo na kuchagua yule ambaye hana gharama na anayweza kumvumilia ila akipata tu pesa anajiona anaweza kumtongoza yoyote na hapo ndipo taratibu huanza kuona kama alikosea kuchagua.
ANGALIZO: Kama hujajipata ukifanya chaguo hakikisha unachagua kwa ubora wako na sio kwa sababu hujajipata ili hata baadaye ukijipata usianze kuona ulikosea.
#Mwanasayansi Saul kalivubha
#Fikia Ndoto Zako