Ukiwa na sifa hizi,, Utapata mwenza haraka hapa JF

Ukiwa na sifa hizi,, Utapata mwenza haraka hapa JF

Tetra

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
1,520
Reaction score
766
::
Msomi (at least Masters in progress)
::
Pesa (sio za mawazo)
::
Umri (at least 30+)
::
Sifa nyingine unazofikiria hazina nguvu sana..Labda umpate aliyetendwa sana hadi benchi limemchosha !!
Niko tayari kukosolewa.
=
 
Yaaani kwa namna hiyo, nimeumia, nimeshindwa kukwalify hata na umri?
Lakini sasa mnajuaje? au mna vipimo vyenu kujua? nikifungua ID mpya nikaweka tangazo la kutafuta mwenza na kuweka sifa hizo hapo juu sitachukua round sio? Si eti Tetra ee?

Ngoja nijitahidi japo sina hata kimoja kati ya hivyo hapo juu. najua nitaungana tu na kaka yetu MFUPI kulia maumivu ya kukataliwa. Hahaaaaa.
 
Badili ID tu,,
utaje sifa hizo PM za kutosha,,sms,,soft sound.
Jaribu utuletee jibu
=
 
::
Msomi (at least Masters in progress)
::
Pesa (sio za mawazo)
::
Umri (at least 30+)
::
Sifa nyingine unazofikiria hazina nguvu sana..Labda umpate aliyetendwa sana hadi benchi limemchosha !!
Niko tayari kukosolewa.
=
Ahaaa, kumbe ndio maana niko nilivyo!
 
Mwee. Tetra who told you that. This is not like you? Umefanya hiyo risechi!?
 
Last edited by a moderator:
Kwa pesa sawa.......naweza nikakubaliana na wewe........huna pesa umtake nani......
 
::
Zion Daughter
Najitahidi kuona usichokiona,,ukitaka kuona nachokiona Fanya researc
=

Nisi kubishie sana. May be kweli..
Lakn ngoja nikuulize swali..hizi pesa unaongelea ni kiasi gani!?hiz za kujikimu au za kununua magari!?
Au wewe unaonaje!?.. uwe mwanamke au mwanaume kumpiga mzinga mtarajiwa wako mfano vitu kama nauli au vocha ni sawa?
 
Last edited by a moderator:
Hahaaa, thanks. ngoja nivunge vunge angalao tupite tuwiki tuwili au tutatu angalau muwe mmesahau, maana na wewe ni mmoja wapo ambaye na-wish awe ameshasahau, hahaaaa, LoL!
::
Badili ID tu,,
utaje sifa hizo PM za kutosha,,sms,,soft sound.
Jaribu utuletee jibu
=
 
Nisi kubishie sana. May be kweli..
Lakn ngoja nikuulize swali..hizi pesa unaongelea ni kiasi gani!?hiz za kujikimu au za kununua magari!?
Au wewe unaonaje!?.. uwe mwanamke au mwanaume kumpiga mzinga mtarajiwa wako mfano vitu kama nauli au vocha ni sawa?

::
Pesa iliyotakata
Isiwe ya "Mama fanya fanya maarifa tule"
Naam
ukiwa na gari,,jumba,,n.k Ni sifa za ziada zitakazofanya muda wa kufikiriwa upungue.
Real love? Mpe Mungu
=
 
Yebaaaaaaaaa.. Kumbe ni hizo tuu...

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
::
Msomi (at least Masters in progress)
::
Pesa (sio za mawazo)
::
Umri (at least 30+)
::
Sifa nyingine unazofikiria hazina nguvu sana..Labda umpate aliyetendwa sana hadi benchi limemchosha !!
Niko tayari kukosolewa.
=

Ahaaa!!! kumbe ndio maana sipati mke humu JF
 
Preta ................nawewe inabidi uwe napesa ili utakwe!

No......pesa za mwanaume ni zetu sote.........zangu ni zangu kwa sababu nina matumizi mengi.......kwa hiyo kama mtu hana pesa.......apite mbali.......
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom