Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaaani kwa namna hiyo, nimeumia, nimeshindwa kukwalify hata na umri?
Lakini sasa mnajuaje? au mna vipimo vyenu kujua? nikifungua ID mpya nikaweka tangazo la kutafuta mwenza na kuweka sifa hizo hapo juu sitachukua round sio? Si eti Tetra ee?
Ngoja nijitahidi japo sina hata kimoja kati ya hivyo hapo juu. najua nitaungana tu na kaka yetu MFUPI kulia maumivu ya kukataliwa. Hahaaaaa.
Ahaaa, kumbe ndio maana niko nilivyo!::
Msomi (at least Masters in progress)
::
Pesa (sio za mawazo)
::
Umri (at least 30+)
::
Sifa nyingine unazofikiria hazina nguvu sana..Labda umpate aliyetendwa sana hadi benchi limemchosha !!
Niko tayari kukosolewa.
=
Mwee. Tetra who told you that. This is not like you? Umefanya hiyo risechi!?
Mfano nina pesa lakini nina "kibamia" vipi nita sebenzaKwa pesa sawa.......naweza nikakubaliana na wewe........huna pesa umtake nani......
::
Badili ID tu,,
utaje sifa hizo PM za kutosha,,sms,,soft sound.
Jaribu utuletee jibu
=
Nisi kubishie sana. May be kweli..
Lakn ngoja nikuulize swali..hizi pesa unaongelea ni kiasi gani!?hiz za kujikimu au za kununua magari!?
Au wewe unaonaje!?.. uwe mwanamke au mwanaume kumpiga mzinga mtarajiwa wako mfano vitu kama nauli au vocha ni sawa?
Preta ................nawewe inabidi uwe napesa ili utakwe!
::
Msomi (at least Masters in progress)
::
Pesa (sio za mawazo)
::
Umri (at least 30+)
::
Sifa nyingine unazofikiria hazina nguvu sana..Labda umpate aliyetendwa sana hadi benchi limemchosha !!
Niko tayari kukosolewa.
=
Mfano nina pesa lakini nina "kibamia" vipi nita sebenza
Hivi wanawake unatujua au unatusikiaga tu......pesa inaliwa kibamia chako tupa kule ..........