Ukiwa na tabia hizi, jiandae kuwa middle class na kuteseka ki uchumi!

Ukiwa na tabia hizi, jiandae kuwa middle class na kuteseka ki uchumi!

Mkuu watu kama hao huwa wapo lakini ni wachache, mfano kuna mzee mmoja alifirisika akiwa na umri wa miaka 60, lakini alipambana hadi akawa tajiri hasa, lakini wangapi wanaweza kwa umri huo?. Gari inatoa pesa yako mfukoni, nyumba pia, baada ya hapo kuna mambo ya kuoa na kuzaa watoto ambao watahitaji ada, kwa staili hiyo hujawa middle class?

Middle class is simply a state of mind kwakweli.

Nani kakudanganya kwamba ukisha JENGA NYUMBA YA KUISHI,na UKANUNUA GARI.
Basi una FILISIKA kabisa na channels zote za chapaa zina katika?

Natamani kuijua theory yako kiukweli.

Am 27,graduated 2 years back,nimeweza nunua gari na nimejenga nyumba ya kuishi.
Halafu una niambia nitakua middle class? Kweli? What is your definition of middle class?

Lazima utakua ume shauriwa na mzee wa miaka60 aliye pewa mafao yake,akanunua gari,akajenga then ndo ikawa imetoka hivo. If so,please specify unaongea na kundi lipi la watu.
 
hivi umemuelewa mtoa mada? yeye anakwambia ukianza kwa kujenga utaishia kuwa middle class, maisha hayana formular. mbona wapo walioanza na biashara na matokeo yake biashara zimekufa na nyumba za kuishi hawana. hii kitu haina guarantee bali ni wewe mwenyewe utakavyojipanga kukabiliana na maisha.

Hi FIVE
 
Hata usemeje,lazima nitanunua kiwanja na nitajenga nyumba yangu mimi mwenyewe,
Usipende kuwakatisha watu tamaa,Maisha ni jinsi unavyoyachagua
 
Middle class is simply a state of mind kwakweli.

Nani kakudanganya kwamba ukisha JENGA NYUMBA YA KUISHI,na UKANUNUA GARI.
Basi una FILISIKA kabisa na channels zote za chapaa zina katika?

Natamani kuijua theory yako kiukweli.

Am 27,graduated 2 years back,nimeweza nunua gari na nimejenga nyumba ya kuishi.
Halafu una niambia nitakua middle class? Kweli? What is your definition of middle class?

Lazima utakua ume shauriwa na mzee wa miaka60 aliye pewa mafao yake,akanunua gari,akajenga then ndo ikawa imetoka hivo. If so,please specify unaongea na kundi lipi la watu.

miaka 2 kazini ushanunua gari na kujenga nyumba duh!!!! Naskia harufu ya ufisadi hpo anyway ni bora sasa ukaanza kufanya investment ili future isome fresh
 
Kutokuwa finnacial smart ndyo kunawafanya wengi wenu hpa mtoe majibu rahis.....mtoa nada hajawakataza kununua magari wala kujenga nyumba ishu hapa ni muda gani unatakiwa ujenge nyumba au ununue gari? Cha msingi fanya ivo ikiwa tayar na asset ambazo zinakuingizia hela

Mafanikio yanategemea na wewe umejipanga vipi?
Kama.mwenzako ametumia hiyo njia kufanikiwa,ukiiga unadhani na wewe utafanikiwa kama yye??
 
miaka 2 kazini ushanunua gari na kujenga nyumba duh!!!! Naskia harufu ya ufisadi hpo anyway ni bora sasa ukaanza kufanya investment ili future isome fresh

Unatakiwa ukae miaka mingapi kazini ndio ununue gari na ujenge nyumba mkuu?
 
Sijui labda we umewekeza kwe kamtaji gani ka kukuvimbisha kichwa kudiss wengine......watu wanaamua kuinvest kwe nyumba koz its atleast a security atakayo kuwa nayo mambo yasipokaa poa....tunajaribu sana muiga robert kiwasaki tunasahau jamaa ukiacha na mifano yake yoote ye kapiga ela kwe kuandika vitabu tu.....bora warren buffet namkubali..

Ndo maana nikasema jamaa ana paste vitu alivyo soma tu sio real life experience.
 
kiukweli mtizamo wako unaukweli ndani yake kama mambo mengine hayajaingilia kati, ila la msingi watu tumetofautiana kimawnzo na hata kiutendaji, ukianza biashara na hauishemu pesa ni sawa na kazi bure, bora hata ujiwekee asset ndani wanao waje kugombania baadae baada ya kufa kwa stres kila mtaa unamadeni.
 
kula like mkuu mtoa mada,mi mshahara wangu wa kwanza niliubamiza kwanza kwa bia,then nikaendelea kutoa hasira za maisha magumu kwa kamkopo kalikotoka pale ofcn then nikaweka vitega uchumia kadhaa ambapo sasa nafikiria kuacha kazi ili nikomae na shughuli zangu japo sijajenga hata kununua iliyokamilika naweza.
 
Nakubaliana na wewe mtoa mada kwa asilimia kubwa,
Watu wengi wanakimbilia mikopo, wananua magari wanashindwa kuyaendesha, wengine wananunua viwanja wanashindwa kujenga. Suala la ujenzi siku hizi limekuwa gumu sana kwa hivyo lazima uwe na uwezo mzuri wa fedha.
Kuhudumia gari kwa muda huhohuo unajenga ni ngumu kwa sababu kwa vijana wengi mishahara yetu basic ni below 1 m. Kwa wale ambao wana mishahara mikubwa na ambao kwa Tanzania hapa ni wachache wanaweza kufanya wanachofikiria ila kwa vijana wengi ambao mishahara ni midogo ni vizuri ukawekeza kwanza then ukaanza kujenga na kubunua gari.

That is how i see it
 
Unatakiwa ukae miaka mingapi kazini ndio ununue gari na ujenge nyumba mkuu?

napata shida kuamini kwam a hilo gari na hyo nyumba umevipata ndani ya miaka 2 labda km ulikuwa na source of income nyingine
 
Mafanikio yanategemea na wewe umejipanga vipi?
Kama.mwenzako ametumia hiyo njia kufanikiwa,ukiiga unadhani na wewe utafanikiwa kama yye??

sasa ndyo umeandika nn nineandika mengine we unanijibu mengine
 
Mada iko real, tatizo haija lenga auduence ya Africa.

We are more concerned with security issues, masuala ya investment ni risk sana wengi hatuwezi.

Wafanyakazi wengu unakuta anakopa pesa benki halafu ana nunua kiwanja au ana nunua nyumba, hapo unajiuliza anawekeza kwenye nn huyu kama sio usingizi?

Au kuna wale wakopao benki na kubadilisha meal nyumbani.

Investment is inevitable if you want to succed beyond.
 
miaka 2 kazini ushanunua gari na kujenga nyumba duh!!!! Naskia harufu ya ufisadi hpo anyway ni bora sasa ukaanza kufanya investment ili future isome fresh

Mbona Mkuu inawezekana? ungemwuliza yuko ofisi gani., kuna ofisi watu wanakamata mishahara minono hujapata kuona pia posho ya kufa mtu yaani jamaa unakuta mshahara haugusi! kwa nini jamaa asijenge? wazo la Hugo ndugu nalipinga!
 
sidhani kama kuna ukweli, maisha ni kujipanga na kupanga ni kuchagua. nyumba na gari nayo ni mahitaji ya msingi sana tu ya kuanza nayo kama hukuwa navyo na haijalishi ununue vya kwanza au vya mwisho, jitihada binafsi ndio muhimu zaidi[/ QUOTE]
Ni kweli. Maisha ni kujipanga tu. Kinachohitajika ni jitihada binafsi, kuwa na nidhamu ya matumizi ya fedha na kuwa na malengo thabiti huku ukimuomba mwenyezi akujaalie afya.
 
Yeah mimi naona vyote vinapaswa kwenda pamoja gari ni kama simu kwa-maisha ya mjini sasa hivi ni muhimu sana ukiikosa kuna cost nyingi tu utaziingia tena kwa miji yenye shida ya usafiri hivi gari ni muhimu afu ni soo cheap to afford uki compare na Nyumba ukiwa na gari linaweza kukusaidia ku monitor investments zako. Mtu ambaye anabeza mwenzie kwa kununua gari namshangaa mimi nasoma chuo ila natamani na ninamwomba Mungu kabla sijamaliza kwanza kitega uchumi hata 2million hivi second kiwanja third gari yaaani namwomba Mungu once I reach my 25 I should have those things wether all or 2 of them and not only 1

Kuwekeza kunahitaji dhamira ya kweli! Ujitoe kwa kila hali!

Mimi nipo chuo(Kama wewe),mwaka wa nne,ila at least nahisi nimepiga one step Ahead,nina Kiwanja,Mifugo yangu Bush(Niliwahi kwa nayo mingine kipindi cha nyuma ikafa yote,nikajipanga upya,nikaja tena),na asset mbili tatu hapa ghetto(Huwa naamini maisha ni yaleyale tu,sipendi kuishi kwa shida leo ili niishi kwa raha kesho make hata hiyo kesho no guarantee nitaiona! Napenda kuishi vizuri leo,na kutengeneza misingi mizuri ya kesho)! Naamini nipo on the right truck..,.! Tatizo sisi wanachuo tunaendeshwa na matukio,tunaishi maisha ya ndoto sana,tunadanganyana..! Mimi nimekaa ghetto kuanzia 1st year mpaka 4th year sasa,kumenikomaza kwelikweli...(Kumenipa na familia kabisa,mama na mtoto)! na hao ndo wanafanya akili yangu ifanye kazi sawasawa 24/7..!

Vijana tuache ubishoo,tupige kazi...ukiwa na akili boom hilohilo linakutoa..!
The Magnificent..!
 
there is the secret. have u ever asked yourself why 10% people own 90% of wealth? do all that 90% remaining dont want to be wealthy? There's the secret and only 10% know the scret...
 
Wadau, hasa vijana wenzangu,

Ushauri kwa vijana wenzangu. Ukiona wewe kwanza ndiyo umepata kazi, ukaanza kwa kununua gari la kutembelea, baada ya hapo ukanunua kiwanja na ukaanza kujenga ujue wewe utaishia kuwa middle class na kuteseka ki uchumi katika maisha yako yote. Ninaposema kuteseka ki uchumi namaanisha kila ikihitajika laki moja wewe kuitoa mpaka ukope au ukitoa unaishiwa. Vijana wengi wanapenda kuishi maisha ya luxury wakati hawana sifa ya kuwa na luxury, unakuta ndani kwake kajaza vifaa expensive wakati hana rasilimali ya kumpa kipato, wengi wanafanya hivyo ili waonekane wako na maisha safi kwa jamii, kumbe wanajichimbia kaburi

Asilimia kubwa ya middle class walieanza kwa ku invest kwenye mambo yasiyozalisha, mfano nyumba ya kuishi mwenyewe au gari, ukianza, ukianza kwa kujenga nyumba ya kuishi wewe ndio mbaya kabisa. Watu tunaowaita matajiri, walianza kwa ku invest kwenye kitu kinachozalisha pesa then gari la kutembelea, nyumba vikaja baadae. Huo ni ushauri wangu kwa vijana wenzangu

BAADA YA KUONA SIELEWEKI, NIMEONA NIWAPE MFANO HUU.

Hapa Tanzania, Wahindi wamekuwa waoga kujenga Tanzania kwa hofu kuwa labda hapa si kwao. Wahindi wanaishi National Housing kwa kupanga, ni mabillionaire, wameshika uchumi wa nchi hii, hawatishwi na kodi za nyumba, mfano kwa Arusha wanalipa kodi hadi 1.5m kwa mwezi kwa nyumba ambazo si national housing huko Arusha.
Sasa vipi wewe Mtanzania ungeanza na biashara then Nyumba?

mkuu hiki ulichokisema ni sahihi kabisa,ukitaka kugundua ukweli angalia kwenye mashirika mengi yaliyoimara kiuchumi utakuta muhindi ndio anashughulika na masuala ya fedha,uhasibu etc etc.ni wachumi wazuri sana na sio rahisi shilingi yao ikapotea kwa mambo yasiyoeleweka.mfano,akiamua aende kariakoo kununua shati la sh 15,000/= mwisho wa mwezi huu,basi ni hilo hilo shati ndio atakalo nunua,akikosa la bei hiyo basi atarudi na hela yake.lakini sisi tusiojua uchumi,mtu ukiwa na laki yako moja unakatiza mitaa tu na wala sio shoping,ukiona jinzi ikakupendeza basi utanunua,mara ukiona saa utabeba,mara ukiona simu utabeba yaani hela inasha bila mpangilio.

pia wana mahesabu makali sana katika maisha.akipiga mahesabu ya kujenga nyumba,mfano hadi ikamilike ni tsh 80,000,000/=.kuliko kuibwaga hiyo mil 80 ikae tu chini bila kuzalisha(kujenga nyumba),ni bora awe anaizungusha kwa mwezi inazaa hata milioni 10 tu kama faida,atapanga nyumba hata ya milioni 2 kwa mwezi,utakuta faida inayotokana na hiyo mil 80 kwa mwezi ni mil 8 baada ya kulipa kodi ya mil 2.so baada ya miezi 10 au mwaka hivi unakuta ile mil 80 ime double na kuwa mil 160.lakini kama ungejenga ina maana hiyo mil 80 isingekuwa inazaa.

big up sana wahindi...
 
Back
Top Bottom