Speaker
JF-Expert Member
- Aug 12, 2010
- 6,324
- 2,240
Mkuu watu kama hao huwa wapo lakini ni wachache, mfano kuna mzee mmoja alifirisika akiwa na umri wa miaka 60, lakini alipambana hadi akawa tajiri hasa, lakini wangapi wanaweza kwa umri huo?. Gari inatoa pesa yako mfukoni, nyumba pia, baada ya hapo kuna mambo ya kuoa na kuzaa watoto ambao watahitaji ada, kwa staili hiyo hujawa middle class?
Middle class is simply a state of mind kwakweli.
Nani kakudanganya kwamba ukisha JENGA NYUMBA YA KUISHI,na UKANUNUA GARI.
Basi una FILISIKA kabisa na channels zote za chapaa zina katika?
Natamani kuijua theory yako kiukweli.
Am 27,graduated 2 years back,nimeweza nunua gari na nimejenga nyumba ya kuishi.
Halafu una niambia nitakua middle class? Kweli? What is your definition of middle class?
Lazima utakua ume shauriwa na mzee wa miaka60 aliye pewa mafao yake,akanunua gari,akajenga then ndo ikawa imetoka hivo. If so,please specify unaongea na kundi lipi la watu.