Kuna UBAYA gani kuwa MIDDLE CLASS?
Mtu anakandya kuwa middle class kwa kubeza home ownership, at least early home ownership.
Wakati hajui kwamba bila middle class huna upper class.
Wakati bila middle class values, as a society, individual huwezi ku transcend middle class.
Tunaambiwa Mengi kaanza biashara kwa kujaza wino mirija ya peni nyumbani kwake, jaribu kufanya hivyo katika nyumba ya Baba Ubaya uone.
Watu wengi wana reduce middle class kuwa ni state ya kiuchumi bila ku address the educational aspect, the cultural aspect, the other facest of the social aspect etc.
Mtu anakuja kutupa ushauri kuhusu kuepuka kuwa middle class (presumably advising how to skyrocket into the upper class) bila ya kutuambia "middle class" na "upper class" katika definition yake ni nini?
Kukimbizana na landlords ni "middle class"? "Upper class"?
Katika nchi isiyo na mfumo wa mafao ya uzeeni ya kueleweka, population explosion inayokuwa projected kuifanya Tanzania kuwa ya tano kwa idadi ya watu by the end of the century (UN/ The Economist) kuacha kujenga nyumba angalau moja sehemu unayotaka early ni "middle class"? "upper class"?
This advisory thread epitomizes the plague of a one size fits all solution from narrow minded approach.
Tuna copy paste maisha ya wenzetu, wenye systems tofauti, sheria tofauti, renters rights tofauti, unit availability tofauti, quality of life tofauti, transportation systems tofauti, financial tools tofauti etc.
Watu wengine, particularly the British stiff lipped upper class, kuongelea hela na investment tu ni "soo middle class".
Who is middle class now?