Ukiwa na USD 500,000 unaingiza vipi Tanzania kama upo nje ya nchi?

Chance ndoto

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2017
Posts
4,363
Reaction score
10,265
Habari wana JF,

Jumapili yenye mushkeli, kumpoteza bwana wille aka lemutuz, ni pigo kwa watanzania wanaomfahamu na waliopenda vitimbwi vyake mitandaoni. R.I.P.

Turudi kwenye mada. Je! dola laki tano in cash(noti) Unaingizaje Tanzania naomba msaada kwa wajuvi wa kada hii. Kwani naamini wapo wanaoelewa mipango. Asanteni.
 
Inategemeana huko wapi.

1. Tumia njia ya kibenki kudeposit na kuchukulia huku hizo pesa

2. Mwisho wa kusafirisha bila kelele ni dollar 10,000 gawanya kwa idadi ya pesa zako. Kata tiketi za mzunguko nenda rudi nenda rudi kufata pesa.

3. Tumia wapiga dili kukuingizia pesa. Zinaingia bila shida.

4. Tafuta wanunuzi wa nje walioko bongo wanaitaji kununua kitu in bulk lipa huko wakupe mzigo wako hapa
 
1. Bank wanabana. IR ukiingiza $10,000 baada ya muda wanasaka. Nitapodeposit $10,000 nyingine itakuwa tatizo.

2. Go and return atleast we can work though ni risk.

3. Hii ya wapiga deal. Mfano wake upoje. Naona imekaa poa.
 
Inategemeana huko wapi.

1. Tumia njia ya kibenki kudeposit na kuchukulia huku hizo pesa

2. Mwisho wa kusafirisha bila kelele ni dollar 10,000 gawanya kwa idadi ya pesa zako. Kata tiketi za mzunguko nenda rudi nenda rudi kufata pesa.

3. Tumia wapiga dili kukuingizia pesa. Zinaingia bila shida.

4. Tafuta wanunuzi wa nje walioko bongo wanaitaji kununua kitu in bulk lipa huko wakupe mzigo wako hapa
Namba 4 Ndio njia bora kabisa. Alternativelly Nunua dhahabu kilo 8 tu.
 
Tumia wire banking, hii huduma kwa hapa kwetu utaipata Equity Bank ya wakenya maana wapo mbele kiteknolojia na watakupa assistance, ili kufanya wire transfer utapewa Iban, Swiftcode na bank cib kukamilisha muamala.

Ila hakikisha una kila kielezo cha jinsi ulivyozipata hizo hela lasivyo account inafungwa na utafunguliwa mashtaka ya kujibu ni vipi umepata hicho kiasi.

Usijidanganye kuzitakatisha kiboya kwamba uiweke sehemu flan uwe unahamisha kidogo kidogo, hii michezo ina mbinu zake na ukiingia kichwa kichwa unadakwa juu kwa juu na IRS ya Marekani watawataarifu BOT washughulike na wewe.
 
Kwanini usifanye transfer ya kawaida tu toka bank ya nje kuja bank ya kitanzania, na wakati huohuo ukiwa na evidence kuwasiliana na FIU au bank ya kibongo utakayodeposit pesa, manake lazima watakuuliza (watakupigia simu) source ya pesa zako.

Na kama ni pesa halali unawaambia tu wasiwe na wasiwasi hiyo ni hela yako halali imetoka majuu unaileta bongo. Evidence zikiwemo hakuna shida yeyote ila ukiwa hauna evidence transaction yako itafika kwenye bank ila wataichunguza isijekuwa inahusiana na money laundering au terrorism financing.
 
Inategemeana huko wapi.

1. Tumia njia ya kibenki kudeposit na kuchukulia huku hizo pesa

2. Mwisho wa kusafirisha bila kelele ni dollar 10,000 gawanya kwa idadi ya pesa zako. Kata tiketi za mzunguko nenda rudi nenda rudi kufata pesa.

3. Tumia wapiga dili kukuingizia pesa. Zinaingia bila shida.

4. Tafuta wanunuzi wa nje walioko bongo wanaitaji kununua kitu in bulk lipa huko wakupe mzigo wako hapa
Akipigwa je
 
Back
Top Bottom