Ukiwa na USD 500,000 unaingiza vipi Tanzania kama upo nje ya nchi?

Habari wana JF,

Jumapili yenye mushkeli, kumpoteza bwana wille aka lemutuz, ni pigo kwa watanzania wanaomfahamu na waliopenda vitimbwi vyake mitandaoni. R.I.P.

Turudi kwenye mada. Je! dola laki tano in cash(noti) Unaingizaje Tanzania naomba msaada kwa wajuvi wa kada hii. Kwani naamini wapo wanaoelewa mipango. Asanteni.
Ziweke kwenye magunia
 
Halali - Bank "Chanzo"

Hakuna namna ingine.
 
*Ogopa kitu kinaitwa MONEY LAUNDERING,...

*HUKOO KWA WENYE NCHI ZAO KAMA UKIWA NA MZIGO MREFU AFU UNATAKA KUFANYA TRANSFER OF MONEY , HAKIKISHA UNA LEGAL DETAILED DOCUMENTS ASEEEEEEEE.

*VINGINEVYO KESHO YAKE UTAJIKUTA MAHABUSU , UKISUBIRIA KUPELEKWA MAHAKAMANI KESHO YALE YAKE TENA
 
Habari wana JF,

Jumapili yenye mushkeli, kumpoteza bwana wille aka lemutuz, ni pigo kwa watanzania wanaomfahamu na waliopenda vitimbwi vyake mitandaoni. R.I.P.

Turudi kwenye mada. Je! dola laki tano in cash(noti) Unaingizaje Tanzania naomba msaada kwa wajuvi wa kada hii. Kwani naamini wapo wanaoelewa mipango. Asanteni.

Ikiingia tu kwanz la account itafungwa alafu jiandae kuwapokea hawa..

1. Maafisa wa BoT
2. TRA

Baada ya hao tarajia pia hawa..

3. Mkuu wa mkoa
4. DC
5. Katibu wa chama
 
Tumbukiza PayPal kisha sukuma safaricom kisha Mpesa /bank Tanzania

Au tupia bank Moja kwa Moja zingine Weka kwenye account yangu utakuja chukua mkuu
Bank hawa ukoweka hela nyingi lazima wafuatilie wajue ulikozitoa hizo hela au ulikozipata ila kama maelezo yatajitosheleza hakuna shida.

Njoo PM nikupe CRDB account number yangu kisha weka ukija bongo tutamalizana kirofo swaaafiii

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom