Ukiwa na USD 500,000 unaingiza vipi Tanzania kama upo nje ya nchi?

Ukiwa na USD 500,000 unaingiza vipi Tanzania kama upo nje ya nchi?

unajua awali nilikuwa sijamwelewa huyu jamaa. kumbe ni pesa yote hiyo ipo in cash haipo bank? kwasababu kama ipo bank, kuna shida gani kusafirisha kwasababu bank ya huko ulaya kama ni chafu wangeshamshtukia. kumbe ana cash mkononi, hapo nakupa pole, utapata shida sana kusafirisha na itabidi ukubali kuliwa kidogo walau substantial amount ifike.
 
Vizuri kuelewa mada. Haya kaa tulie ule madini. Mada nzito sana kwako hii kijana.
 
1 B na ushee hukooo...
Duh
1,150,000,000 (bilioni moja na milioni mia na ushee). hiyo kama upo kwenye mabegi, ataliwa sana hadi zifike. bank hawezi kutumia, akitumia kwa watu binafsi labda matajiri waliopo kule nao shida wazungu wakiona cash nyingi tu wanaanzia hapohapo investigation, akiamua awe anakuja kwa ndege atakuja mara mbili tu, mara ya tatu watamshtukia manake zitakuwa zinaonekana na viwanja vya ndege kuna siku watamstukia. ni shida tupu.
 
Ushauri wangu tafuta ndugu zako Kama 20 hiv wape help wafungulie akaunti halafu kila mtu mtumie kiasi fulan Cha pesa mfano dola elfu 10 kila baada ya mwez halafu ukirud bongo utazitoa
huo ushauri Fake
Huwezi kufungulia mtu account next day atumiwe 20mil tena kutoka nje....
Account inayo pokea hela ni iliyo na utaratibu wa kuwa na hela nyingi.
Japo huyu kiongozi hajatuambia anategemea kuzifanyia nini hapa nyumbani. Angesema anakuja kufungua kiwanda au mradi wa Nguvu wa kutengeneza ajira mimi nipo tayari kutoa ushauri wangu wooote. I
 
Habari wana JF,

Jumapili yenye mushkeli, kumpoteza bwana wille aka lemutuz, ni pigo kwa watanzania wanaomfahamu na waliopenda vitimbwi vyake mitandaoni. R.I.P.

Turudi kwenye mada. Je! dola laki tano in cash(noti) Unaingizaje Tanzania naomba msaada kwa wajuvi wa kada hii. Kwani naamini wapo wanaoelewa mipango. Asanteni.
Kwanini usifanye manunuzi ya bidhaa ambazo unajua ukifika huku lazima zitauzika au utatumia kirahisi na zikatengeneza faida zaidi ya hiyo pesa! Agiza hata vichwa vya howo na matrailer yake vijana waje wapambane navyo huku
 
*Ogopa kitu kinaitwa MONEY LAUNDERING,...

*HUKOO KWA WENYE NCHI ZAO KAMA UKIWA NA MZIGO MREFU AFU UNATAKA KUFANYA TRANSFER OF MONEY , HAKIKISHA UNA LEGAL DETAILED DOCUMENTS ASEEEEEEEE.

*VINGINEVYO KESHO YAKE UTAJIKUTA MAHABUSU , UKISUBIRIA KUPELEKWA MAHAKAMANI KESHO YALE YAKE TENA
Duuuuh mbna hatarii hiii.
 
Ikiingia tu kwanz la account itafungwa alafu jiandae kuwapokea hawa..

1. Maafisa wa BoT
2. TRA

Baada ya hao tarajia pia hawa..

3. Mkuu wa mkoa
4. DC
5. Katibu wa chama
Mbna atajikuta zote wanachukua hawa uliowatajaaa
 
Kwanini usifanye manunuzi ya bidhaa ambazo unajua ukifika huku lazima zitauzika au utatumia kirahisi na zikatengeneza faida zaidi ya hiyo pesa! Agiza hata vichwa vya howo na matrailer yake vijana waje wapambane navyo huku
manunuzi ni ngumu, ulaya ukenda kufanya manunuzi ya cash pesa ndefu hivyo, watapiga simu polisi na itabidi ueleze umezipataje na umelipa kodi au vipi, kuna mengi utaulizwa na anaweza kupoteza zote. nashauri awe anatuma western union kwa ndugu anayemwamini huku bongo amwekee kwenye account yake ya kibongo account kadhaa (afungue account bank hata tano ili isionekana bank moja unaweka tu hapo watakushtukia), na zingine hizo milioni kumikumi awe anasafiri nazo akifika airport anadeclare basi. apige ruti zote hizo hadi hela iishe.
 
Back
Top Bottom