Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nunua dhahabuSomething to note wakati mnanishauri.
Money transfer yyte inahitaji maelezo kwa pesa ya urefu huo. 100% itapotea.
Go and return. Itanichukua si chini ya milioni 200 tickets kusafirisha dola elfu kumi kila trip.
Hela tajwa juu, idadi iliyofikia si yakukaa nayo cash kwa nchi niliyokuepo na nchi nyingi za ulaya. Ni hela iliyokusanywa. Sema imezidi limit na ubaya ipo in cash. Ngumu kutolea maelezo popote.
afuate njia zinazoruhusiwa kawaida kabisa hizo njia nyingine ni uhujumu uchumi.Inategemeana huko wapi.
1. Tumia njia ya kibenki kudeposit na kuchukulia huku hizo pesa
2. Mwisho wa kusafirisha bila kelele ni dollar 10,000 gawanya kwa idadi ya pesa zako. Kata tiketi za mzunguko nenda rudi nenda rudi kufata pesa.
3. Tumia wapiga dili kukuingizia pesa. Zinaingia bila shida.
4. Tafuta wanunuzi wa nje walioko bongo wanaitaji kununua kitu in bulk lipa huko wakupe mzigo wako hapa
hiyo ni kama 1.2B na sio 11.5BUkisha ona mtu anataka kuingia na approximation
11, 500, 000, 000 in cash tena anavutiwa na njia ya wapiga dili ujue kabisa hawezi kupata hayo maelezo yaliyo nyooka
money laundering inatakiwa kuwa na 'predicate offence", ndio maana tunasema kama source ya pesa zako ni safi na upo ushahidi, labda ulifanya biashara na kuna tax clearance au notification yeyote toka kwenye bank yako ya ulaya, FIU (financial intelligence unit) ya Tanzania haita leta longolongo yeyote ya kuwaalart mabenki ya kibongo, na nijuavyo (kwasababu nilishawahi kusafirisha pesa), zikifika tu hapa bongo bank husika watakupigia simu kabisa kukuuliza source ya pesa, ni requirement ya sheria ya money laundering act, kama upo ushahidi kwamba pesa ni safi hawana shida. pia hata kama hauna ushahidi, hawana mamlaka kufreeze account, utawashitaki, freezing of accounts inatakiwa kufuata sheria, IGP ana siku zake 7 AU 14 KAMA SIKOSEI, then hapo hadi amri ya mahakama. bila hayo pesa zako utaendelea kuaccess na hakuna wa kufreeze.*Ogopa kitu kinaitwa MONEY LAUNDERING,...
*HUKOO KWA WENYE NCHI ZAO KAMA UKIWA NA MZIGO MREFU AFU UNATAKA KUFANYA TRANSFER OF MONEY , HAKIKISHA UNA LEGAL DETAILED DOCUMENTS ASEEEEEEEE.
*VINGINEVYO KESHO YAKE UTAJIKUTA MAHABUSU , UKISUBIRIA KUPELEKWA MAHAKAMANI KESHO YALE YAKE TENA
Exchange rates za dola kwa sasa zipoje mkuu?X500, 000 dollars itakuwa nilipiga hesabu vibayahiyo ni kama 1.2B na sio 11.5B
Hustle ya kutafuta inaendeleaTalk with big importers, of course there will be a consideration; sign an agreement, give them the money. He will import whatever he is registered to import. Atauza na kukupa hela yako.
Huwezi kuwa na $500,000 usijue kizungu.
If you got those bucks legitimately you can remit them through the bank
dola laki tano ni pesa ndogo sana kusafirisha. watu wanasafirisha bilions. kama upo na bank nzuri hapa bongo, mfano ni CRDB au stanbic, fanya tu transfer toka bank ya ulaya kuja ya bongo. ila kuwa na vielelezo vya usafi (biashara au chochote etc). ikifika hapa, pesa zako hazitakuwa frozen hadi uwe kwenye tuhuma inayopelelezwa na polisi au ukiwa umefunguliwa mashtaka. ukiwa kwenye tuhuma, labda nchi ya nje imeleta tuhuma kwamba umefanya kosa kule ndio unahamishia/unasafishia pesa huku, IGP ana siku chache sana za kufreeze akaunti yako bila amri ya mahakama (7 to 14 days), baada ya hapo bank wanatakiwa kuachia pesa zako manake polisi watakuwa wameshindwa kuleta tuhuma yeyote. kama bank wataendelea kuzuia, unaweza kuwafungulia kesi wakulipe fidia. pia, kama umefunguliwa shauri mahakamani, mahakama inaweza kutoa order baada ya maombi. sasa wewe kama pesa zako ni safi, serikali ya tanzania itakufunguliwa mashitaka ya nini hadi pesa yako iwe frozen? au polisi watafanay uchunguzi wa nini bila kuwepo tuhuma au mlalamikaji? nilishawahi kuwa na account HSBC bank, nilisafirisha pesa zilipofika tu, nilipigiwa simu wakauliza, nikawapa majibu, mambo yaliishia hapo.Talk with big importers, of course there will be a consideration; sign an agreement, give them the money. He will import whatever he is registered to import. Atauza na kukupa hela yako.
Huwezi kuwa na $500,000 usijue kizungu.
If you got those bucks legitimately you can remit them through the bank
Unachanganya mafile kijanadola laki tano ni pesa ndogo sana kusafirisha. watu wanasafirisha bilions. kama upo na bank nzuri hapa bongo, mfano ni CRDB au stanbic, fanya tu transfer toka bank ya ulaya kuja ya bongo. ila kuwa na vielelezo vya usafi (biashara au chochote etc). ikifika hapa, pesa zako hazitakuwa frozen hadi uwe kwenye tuhuma inayopelelezwa na polisi au ukiwa umefunguliwa mashtaka. ukiwa kwenye tuhuma, labda nchi ya nje imeleta tuhuma kwamba umefanya kosa kule ndio unahamishia/unasafishia pesa huku, IGP ana siku chache sana za kufreeze akaunti yako bila amri ya mahakama (7 to 14 days), baada ya hapo bank wanatakiwa kuachia pesa zako manake polisi watakuwa wameshindwa kuleta tuhuma yeyote. kama bank wataendelea kuzuia, unaweza kuwafungulia kesi wakulipe fidia. pia, kama umefunguliwa shauri mahakamani, mahakama inaweza kutoa order baada ya maombi. sasa wewe kama pesa zako ni safi, serikali ya tanzania itakufunguliwa mashitaka ya nini hadi pesa yako iwe frozen? au polisi watafanay uchunguzi wa nini bila kuwepo tuhuma au mlalamikaji? nilishawahi kuwa na account HSBC bank, nilisafirisha pesa zilipofika tu, nilipigiwa simu wakauliza, nikawapa majibu, mambo yaliishia hapo.
kitu gani nimechanganya hapo?Unachanganya mafile kijana
Namba 1 na 4 itamsaidia zaidiInategemeana huko wapi.
1. Tumia njia ya kibenki kudeposit na kuchukulia huku hizo pesa
2. Mwisho wa kusafirisha bila kelele ni dollar 10,000 gawanya kwa idadi ya pesa zako. Kata tiketi za mzunguko nenda rudi nenda rudi kufata pesa.
3. Tumia wapiga dili kukuingizia pesa. Zinaingia bila shida.
4. Tafuta wanunuzi wa nje walioko bongo wanaitaji kununua kitu in bulk lipa huko wakupe mzigo wako hapa
Zikipita tu kwenye mfumo wa benki zinapotea.ushauri walio kupa Hawa ndugu zetu hadi kufikia hapa ukiufata wowote ule jiandae kupoteza hizo pesa kama kweli unazo