Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,363
- 10,265
Naamini same applies anywhere.Wanakuja mkuu kaa kwa kutulia,pia ungefungua code zaidi ili wajue uko nje bara gani?
1. Bank wanabana. IR ukiingiza $10,000 baada ya muda wanasaka. Nitapodeposit $10,000 nyingine itakuwa tatizo.Inategemeana huko wapi.
1. Tumia njia ya kibenki kudeposit na kuchukulia huku hizo pesa
2. Mwisho wa kusafirisha bila kelele ni dollar 10,000 gawanya kwa idadi ya pesa zako. Kata tiketi za mzunguko nenda rudi nenda rudi kufata pesa.
3. Tumia wapiga dili kukuingizia pesa. Zinaingia bila shida.
4. Tafuta wanunuzi wa nje walioko bongo wanaitaji kununua kitu in bulk lipa huko wakupe mzigo wako hapa
Hapo unamuua mwenzioKatoe maelezo Kwa maafisa forodha hapo airport watakupa utaratibu
Namba 4 Ndio njia bora kabisa. Alternativelly Nunua dhahabu kilo 8 tu.Inategemeana huko wapi.
1. Tumia njia ya kibenki kudeposit na kuchukulia huku hizo pesa
2. Mwisho wa kusafirisha bila kelele ni dollar 10,000 gawanya kwa idadi ya pesa zako. Kata tiketi za mzunguko nenda rudi nenda rudi kufata pesa.
3. Tumia wapiga dili kukuingizia pesa. Zinaingia bila shida.
4. Tafuta wanunuzi wa nje walioko bongo wanaitaji kununua kitu in bulk lipa huko wakupe mzigo wako hapa
Paypal ndo kwa moto zaidi.Tumbukiza PayPal kisha sukuma safaricom kisha Mpesa /bank Tanzania
Au tupia bank Moja kwa Moja zingine Weka kwenye account yangu utakuja chukua mkuu
Kama ni za dili asiende Ila kama ni halali aende atapewa utaratibu ni kawaida kuingia/kutoka na cash zaidi ya dollar elf10 kama zikiwa declared Kwa mamlaka zinazohusika na currency hapo airport.Hapo unamuua mwenzio
Bank za bongo zote hazina IBANtumia wire banking, hii huduma ni rahisi mno kwa benki kama Equity, utaumia details kama Iban, Swiftcode na bank cib kukamilisha muamala.
Ila hakikisha una kila kielezo cha jinsi ulivyozipata hizo hela lasivyo account inafungwa na kesi juu.
Akipigwa jeInategemeana huko wapi.