Pesa zake zinatia mashaka kuwa ni chafu, Anachotaka kufanya ni pure money laundering na yupo kwenye hatua ya intergration, ingekuwa hizo pesa zipo Africa , ingekuwa rahisi kwa sababu mifumo huku ipo loose ,full of gaps , ila kwa ulaya ni almost impossible na anajua pia kuwa anacheza na jela muda wowote , hata kununua vitu kwa cash wana discourage sana huko first world . Un less anunue kwenye black market.Utajiri ni siri ya mtu ingekuwa sio siri kila mtu duniani angekuwa tajiri
Haha mbona kawaweka watu bize kiasi hicho!!!Hana anachokijua Wala Hana hicho kiasi ,juzi tu hapa anauza ps mbovu kwa laki Leo eti ana usd 500000 cash
Dah! Mi mwnyw nikajua ziko bank. Kumbe cash[emoji848]1,150,000,000 (bilioni moja na milioni mia na ushee). hiyo kama upo kwenye mabegi, ataliwa sana hadi zifike. bank hawezi kutumia, akitumia kwa watu binafsi labda matajiri waliopo kule nao shida wazungu wakiona cash nyingi tu wanaanzia hapohapo investigation, akiamua awe anakuja kwa ndege atakuja mara mbili tu, mara ya tatu watamshtukia manake zitakuwa zinaonekana na viwanja vya ndege kuna siku watamstukia. ni shida tupu.
Soma comments za juu[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]Hiyo instalment payment unaifanyaje wakati una cash kabatini ghetto kwako? Systems za watu weupe sio rahisi sana mtu kutakatisha pesa.
Kama ordinary citizen ana earn let's say $40,000-60,000 per Yr, wewe unatoa wapi $40,000 kila mwezi unadeposit bank?
Very tricky aisee
Kampuni gani ya betting ambayo unavosajili line inakua ya ulaya then uje utolee Tz huoni hapo ni laini zitakua mbili tofauti angalia mfano wa 1xbet ndo utaelewa na najua unaijua 1xbetAu deposit Ela kwny account ya betting
Ukifika bongo unawithdraw kwa mawakala wa bongo kwa fedha za bongo
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Haya yote baada ya kukutolea nje mpango wako.Hana anachokijua Wala Hana hicho kiasi ,juzi tu hapa anauza ps mbovu kwa laki Leo eti ana usd 500000 cash
Hata mimi nina bet pia.Kampuni gani ya betting ambayo unavosajili line inakua ya ulaya then uje utolee Tz huoni hapo ni laini zitakua mbili tofauti angalia mfano wa 1xbet ndo utaelewa na najua unaijua 1xbet
Wenye pesa hawajielezi hivi , nimemalizaHaya yote baada ya kukutolea nje mpango wako.
Sijawahi uza ps mbovu maishani mwangu. Last item nimeuza humu ni ps3 nzima. Ila unapata kichwa tu.
Naleta bongo vitu vingi sana. Fatilia nauza hadi iphone zenu hizo bei chee kabisa.
Mimi ni mfanya biashara. Ukifatilia post zangu utajua niko wapi na what i deal with hiyo hela. Ni fursa nimeona ije huko. Sometimes muwe waungwana sawa ubiliko. Ps kwa laki. Chance ndoto. Acha dharau[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nilileta vichwa 80 vya ps 3 last purchase. Na naleta vingi sana kusaidia wazawa bongo. I needed this money move. Kuna bwana ndio alinifanya mimi nikaona na kutoka nje ya tanzania alitokea humu. Since then naamini kuna mengi ya kusaidiana humu.
I am 80% to move the money. Nikibahatika mtajua tu. Asante.
Kwamba aende safari 50 kufuata pesa yake.Inategemeana huko wapi.
1. Tumia njia ya kibenki kudeposit na kuchukulia huku hizo pesa
2. Mwisho wa kusafirisha bila kelele ni dollar 10,000 gawanya kwa idadi ya pesa zako. Kata tiketi za mzunguko nenda rudi nenda rudi kufata pesa.
3. Tumia wapiga dili kukuingizia pesa. Zinaingia bila shida.
4. Tafuta wanunuzi wa nje walioko bongo wanaitaji kununua kitu in bulk lipa huko wakupe mzigo wako hapa
dola laki tano ni pesa ndogo sana kusafirisha. watu wanasafirisha bilions. kama upo na bank nzuri hapa bongo, mfano ni CRDB au stanbic, fanya tu transfer toka bank ya ulaya kuja ya bongo. ila kuwa na vielelezo vya usafi (biashara au chochote etc). ikifika hapa, pesa zako hazitakuwa frozen hadi uwe kwenye tuhuma inayopelelezwa na polisi au ukiwa umefunguliwa mashtaka. ukiwa kwenye tuhuma, labda nchi ya nje imeleta tuhuma kwamba umefanya kosa kule ndio unahamishia/unasafishia pesa huku, IGP ana siku chache sana za kufreeze akaunti yako bila amri ya mahakama (7 to 14 days), baada ya hapo bank wanatakiwa kuachia pesa zako manake polisi watakuwa wameshindwa kuleta tuhuma yeyote. kama bank wataendelea kuzuia, unaweza kuwafungulia kesi wakulipe fidia. pia, kama umefunguliwa shauri mahakamani, mahakama inaweza kutoa order baada ya maombi. sasa wewe kama pesa zako ni safi, serikali ya tanzania itakufunguliwa mashitaka ya nini hadi pesa yako iwe frozen? au polisi watafanay uchunguzi wa nini bila kuwepo tuhuma au mlalamikaji? nilishawahi kuwa na account HSBC bank, nilisafirisha pesa zilipofika tu, nilipigiwa simu wakauliza, nikawapa majibu, mambo yaliishia hapo.
Katika maisha tunapitia mengi sana ndugu. Heroes came from zero. Watu inaonekana mkija kupata hela hamtouliza watu.Huyu.mwamba ndio yupo abroad anataka kuleta $500k? Mambo mengine bwana!!View attachment 2623476
Hamna sehemu nimeandika nina pesa. Kikubwa toa ushauri. Inawezekana si mimi ila wapo watu watahitaji msaada kumove hata dola 50,000 at once.Wenye pesa hawajielezi hivi , nimemaliza
Kama hutaki charges ingiza kwa Cryptocurrency then unakuja kutoa huku TZHabari wana JF,
Jumapili yenye mushkeli, kumpoteza bwana wille aka lemutuz, ni pigo kwa watanzania wanaomfahamu na waliopenda vitimbwi vyake mitandaoni. R.I.P.
Turudi kwenye mada. Je! dola laki tano in cash(noti) Unaingizaje Tanzania naomba msaada kwa wajuvi wa kada hii. Kwani naamini wapo wanaoelewa mipango. Asanteni.