Ukiwa na USD 500,000 unaingiza vipi Tanzania kama upo nje ya nchi?

Ukiwa na USD 500,000 unaingiza vipi Tanzania kama upo nje ya nchi?

Utajiri ni siri ya mtu ingekuwa sio siri kila mtu duniani angekuwa tajiri
Pesa zake zinatia mashaka kuwa ni chafu, Anachotaka kufanya ni pure money laundering na yupo kwenye hatua ya intergration, ingekuwa hizo pesa zipo Africa , ingekuwa rahisi kwa sababu mifumo huku ipo loose ,full of gaps , ila kwa ulaya ni almost impossible na anajua pia kuwa anacheza na jela muda wowote , hata kununua vitu kwa cash wana discourage sana huko first world . Un less anunue kwenye black market.
 
Hana anachokijua Wala Hana hicho kiasi ,juzi tu hapa anauza ps mbovu kwa laki Leo eti ana usd 500000 cash
Haha mbona kawaweka watu bize kiasi hicho!!!
Nimeshangaa dola 500000, in hard cash anakuwa alicanya nini hadi akazipata , labda kama alikuwa cassino attendant akabahatisha .
 
1,150,000,000 (bilioni moja na milioni mia na ushee). hiyo kama upo kwenye mabegi, ataliwa sana hadi zifike. bank hawezi kutumia, akitumia kwa watu binafsi labda matajiri waliopo kule nao shida wazungu wakiona cash nyingi tu wanaanzia hapohapo investigation, akiamua awe anakuja kwa ndege atakuja mara mbili tu, mara ya tatu watamshtukia manake zitakuwa zinaonekana na viwanja vya ndege kuna siku watamstukia. ni shida tupu.
Dah! Mi mwnyw nikajua ziko bank. Kumbe cash[emoji848]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo instalment payment unaifanyaje wakati una cash kabatini ghetto kwako? Systems za watu weupe sio rahisi sana mtu kutakatisha pesa.

Kama ordinary citizen ana earn let's say $40,000-60,000 per Yr, wewe unatoa wapi $40,000 kila mwezi unadeposit bank?

Very tricky aisee
Soma comments za juu[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Au deposit Ela kwny account ya betting
Ukifika bongo unawithdraw kwa mawakala wa bongo kwa fedha za bongo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kampuni gani ya betting ambayo unavosajili line inakua ya ulaya then uje utolee Tz huoni hapo ni laini zitakua mbili tofauti angalia mfano wa 1xbet ndo utaelewa na najua unaijua 1xbet
 
Hana anachokijua Wala Hana hicho kiasi ,juzi tu hapa anauza ps mbovu kwa laki Leo eti ana usd 500000 cash
Haya yote baada ya kukutolea nje mpango wako.
Sijawahi uza ps mbovu maishani mwangu. Last item nimeuza humu ni ps3 nzima. Ila unapata kichwa tu.
Naleta bongo vitu vingi sana. Fatilia nauza hadi iphone zenu hizo bei chee kabisa.
Mimi ni mfanya biashara. Ukifatilia post zangu utajua niko wapi na what i deal with hiyo hela. Ni fursa nimeona ije huko. Sometimes muwe waungwana sawa ubiliko. Ps kwa laki. Chance ndoto. Acha dharau😂😂😂😂😂. Nilileta vichwa 80 vya ps 3 last purchase. Na naleta vingi sana kusaidia wazawa bongo. I needed this money move. Kuna bwana ndio alinifanya mimi nikaona na kutoka nje ya tanzania alitokea humu. Since then naamini kuna mengi ya kusaidiana humu.
I am 80% to move the money. Nikibahatika mtajua tu. Asante.
 
Kampuni gani ya betting ambayo unavosajili line inakua ya ulaya then uje utolee Tz huoni hapo ni laini zitakua mbili tofauti angalia mfano wa 1xbet ndo utaelewa na najua unaijua 1xbet
Hata mimi nina bet pia.
Ila hapa nilikua natafuta njia tu.
Hela sio illegal ila haina makaratasi yakutosha. Na lazma izuiwe.
 
Haya yote baada ya kukutolea nje mpango wako.
Sijawahi uza ps mbovu maishani mwangu. Last item nimeuza humu ni ps3 nzima. Ila unapata kichwa tu.
Naleta bongo vitu vingi sana. Fatilia nauza hadi iphone zenu hizo bei chee kabisa.
Mimi ni mfanya biashara. Ukifatilia post zangu utajua niko wapi na what i deal with hiyo hela. Ni fursa nimeona ije huko. Sometimes muwe waungwana sawa ubiliko. Ps kwa laki. Chance ndoto. Acha dharau[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nilileta vichwa 80 vya ps 3 last purchase. Na naleta vingi sana kusaidia wazawa bongo. I needed this money move. Kuna bwana ndio alinifanya mimi nikaona na kutoka nje ya tanzania alitokea humu. Since then naamini kuna mengi ya kusaidiana humu.
I am 80% to move the money. Nikibahatika mtajua tu. Asante.
Wenye pesa hawajielezi hivi , nimemaliza
 
Tafuta technology startup yoyote inayo-operate hapa bongo ila ipo registered nje ya Tanzania kwa ajili ya kupata angel investors. Mfano mzuri ni NALA iliyoanzishwa na m-Tanzania Benjamin Fernandes hii ime-raise zaidi ya $10M kutoka nje ya mipaka ya Tanzania, na zaidi ya 99% ya watu waliwekeza pesa wametoka nje ya bara la Afrika ila sehemu kubwa ni waafrika waliokuwa wanatafuta sehemu ya kuwekeza pesa zao.

Asilimia kubwa ya hizi startups zina-struggle sana kupata wawekezaji tumia huu upenyo kuingia kama angel investor hao watakupa utaratibu wote unaweza kuingiza vipi pesa kirahisi bila shida ila uwe tayari kuwekeza kweli atleast $100k kule kuna madogo wapo smart sana watakufundisha njia ambazo hata central banks hawawezi ku-control. Startups nyingi sana zipo desperate kupata mwekezaji wanahitaji pesa za uendeshaji (mishahara, matangazo, n.k).
 
Nakupa option zifuatazo.
1. Kuna mdau kaongelea hizo deal za wahindi yaani kuna mtu yuko bongo ana hio cash na wewe uko huko so hizo unaacha huko unakuja kupokea huku at a reasonable cost lets say 10% of the amount
2. Deposit kwenye online gambling site. This is a very good method to clean it. Let’s say unaanza kudepost 5000$ sasa wewe haubet yote, una bet lets say dola 100$ ushinde au usishinde hakikisha una Fanya withdrawal kwenye akaunti itaonekana kama winnings from gambling site. Ila DEPOSIT OVER THE COUNTER kwenye any casino huko europe ili uingie evolution, betway au 1x. Cheza sana huko kuna gambling addicts wanabet mpaka 10M USD in a month. So haitokuwa shocking sana.
3. Nunua bitcoin mdogo mdogo. Baadae uza unapata justifiable amount.
4. Ukishindwa mzee bakinazo. There is no investment bongo that is worth the risk


WAKANDA FOREVER
 
Inategemeana huko wapi.

1. Tumia njia ya kibenki kudeposit na kuchukulia huku hizo pesa

2. Mwisho wa kusafirisha bila kelele ni dollar 10,000 gawanya kwa idadi ya pesa zako. Kata tiketi za mzunguko nenda rudi nenda rudi kufata pesa.

3. Tumia wapiga dili kukuingizia pesa. Zinaingia bila shida.

4. Tafuta wanunuzi wa nje walioko bongo wanaitaji kununua kitu in bulk lipa huko wakupe mzigo wako hapa
Kwamba aende safari 50 kufuata pesa yake.
 
Hiyo njia ya Wahindi walioopo huku ni best way... unaacha hela zako unakuja pewa cash huku bongo uanze kupambana nazo... uzuri huku bado sio cashless kama huko ulipo...


Ila wazo langu lingine kuliko lile la kutafuta ndugu 30 sijui 20 huku bongo then uwatumie (ambapo bank za huko watakudoubt) kama walivyosema wadau, tafuta watu 30 unaojuana nao huko ulipo... mje bongo kama wataliii then kila mtu abebe 10m USD ambazo ni allowable... hapa one trip mnaleta huku like 300m... ukisafiri kwenda na kurudi alone mara 50 sijui hutotoboa...
 
dola laki tano ni pesa ndogo sana kusafirisha. watu wanasafirisha bilions. kama upo na bank nzuri hapa bongo, mfano ni CRDB au stanbic, fanya tu transfer toka bank ya ulaya kuja ya bongo. ila kuwa na vielelezo vya usafi (biashara au chochote etc). ikifika hapa, pesa zako hazitakuwa frozen hadi uwe kwenye tuhuma inayopelelezwa na polisi au ukiwa umefunguliwa mashtaka. ukiwa kwenye tuhuma, labda nchi ya nje imeleta tuhuma kwamba umefanya kosa kule ndio unahamishia/unasafishia pesa huku, IGP ana siku chache sana za kufreeze akaunti yako bila amri ya mahakama (7 to 14 days), baada ya hapo bank wanatakiwa kuachia pesa zako manake polisi watakuwa wameshindwa kuleta tuhuma yeyote. kama bank wataendelea kuzuia, unaweza kuwafungulia kesi wakulipe fidia. pia, kama umefunguliwa shauri mahakamani, mahakama inaweza kutoa order baada ya maombi. sasa wewe kama pesa zako ni safi, serikali ya tanzania itakufunguliwa mashitaka ya nini hadi pesa yako iwe frozen? au polisi watafanay uchunguzi wa nini bila kuwepo tuhuma au mlalamikaji? nilishawahi kuwa na account HSBC bank, nilisafirisha pesa zilipofika tu, nilipigiwa simu wakauliza, nikawapa majibu, mambo yaliishia hapo.

Ni kwanzia kiasi gani kikiingia bank account inaweza kuwa freezed?
 
Huyu.mwamba ndio yupo abroad anataka kuleta $500k? Mambo mengine bwana!!
Screenshot_20230516_063704.jpg
 
Watanzania kwa ujuaji bhaana! Mtu ameuliza njia ya kusafirisha kwa cash hizo dollar lkn mtu anajifanya mjuaji anatoa maelekezo ya ku-deposit bank hivi mtu akae nje asijue km kuna bank!? Acheni ujuha. Huyu mpaka kuuliza hapa maana yake kuna shida ya kusafirisha kwa hizo njia halali.

Mkuu Kama hujapata me nakushauri njia ya kukutana na tajiri wa kibongo hukohuko uliko unampa hiyo pesa ananunua mali huko then mnasafiri wote kuja bongo anakupa cash kabisaa Wala hakuwekei bank ukaulizwe tena maswali. Mimi naweza kukuunganisha tajiri mkubwa tu na ni mbunge pia mfanyabiashara. Kama upo tayari uje dm tuyajenge nikuunganisha naye atakufuata popote pale duniani.
 
Habari wana JF,

Jumapili yenye mushkeli, kumpoteza bwana wille aka lemutuz, ni pigo kwa watanzania wanaomfahamu na waliopenda vitimbwi vyake mitandaoni. R.I.P.

Turudi kwenye mada. Je! dola laki tano in cash(noti) Unaingizaje Tanzania naomba msaada kwa wajuvi wa kada hii. Kwani naamini wapo wanaoelewa mipango. Asanteni.
Kama hutaki charges ingiza kwa Cryptocurrency then unakuja kutoa huku TZ
 
Back
Top Bottom