Mrs Habib
Member
- Feb 27, 2023
- 14
- 9
Iko hivi kwenye vyeti vyangu vya shule nina majina mawili tu hakuna jina la ukoo lakini kwenye nida kuna majina matatu pamoja na jina la ukoo.
Ni miaka minne sasa kila nikiomba kazi serikalini siitwi hata kwenye usahili shida inaweza ikawa ni hii ya utofauti wa majina na kama shida ni hii naomba ushauri nafanye nini au niende wapi kuweka haya majina sawa