Ukiwa na utofauti wa majina kwenye vyeti na vya shule na NIDA inaweza kuwa ni sababu ya kutokuitwa kwenye usaili?

Ukiwa na utofauti wa majina kwenye vyeti na vya shule na NIDA inaweza kuwa ni sababu ya kutokuitwa kwenye usaili?

Mrs Habib

Member
Joined
Feb 27, 2023
Posts
14
Reaction score
9
Iko hivi kwenye vyeti vyangu vya shule nina majina mawili tu hakuna jina la ukoo lakini kwenye nida kuna majina matatu pamoja na jina la ukoo.

Ni miaka minne sasa kila nikiomba kazi serikalini siitwi hata kwenye usahili shida inaweza ikawa ni hii ya utofauti wa majina na kama shida ni hii naomba ushauri nafanye nini au niende wapi kuweka haya majina sawa
 
Utofauti wa majini kivipi mkuu ? Au ulimaanisha majina?🙄
 
Hiyo sio shida ya kutoitwa...
Lakini siku ukienda kwenye saili inabidi uwe na affidavit...
Angalia reason pale kwenye status..not shortlisted because ....
 
Hiyo sio shida ya kutoitwa...
Lakini siku ukienda kwenye saili inabidi uwe na affidavit...
Angalia reason pale kwenye status..not shortlisted because ....
sio avidavit ni deedpoll kuna tofaut kati ua avidavit na deedpoll
 
Back
Top Bottom