Ukiwa na V8, shangingi au 4WD ya kishua, heshimu tahadhari za barabarani

Ukiwa na V8, shangingi au 4WD ya kishua, heshimu tahadhari za barabarani

Jamaa kwa mazarau kaamua kuyapita magari mengine yaliyojisubirisha ili mkondo wa maji ya mafuriko yspite.

Kajiamini na 4 WD yake, na hakufika mbali.

Alipoteza kila kitu, nafikiri na maisha pia.
Mwewe kasombwa na maji.
Ushawahi kupanda V8 mleta mada?!

Ngoja nikupe siri. Hilo dude ukilipanda automatikali levo ya kujiamini inapanda kwa asilimia 50. V8 acha iitwe V8.
Kilichotokea hapo ni ajali kazini tu.
21110314841DSC_1472.jpg
 
Mwewe kasombwa na maji.
Ushawahi kupanda V8 mleta mada?!

Ngoja nikupe siri. Hilo dude ukilipanda automatikali levo ya kujiamini inapanda kwa asilimia 50. V8 acha iitwe V8.
Kilichotokea hapo ni ajali kazini tu.
View attachment 2657296
Kwangu V8 ni ile fahari ya macho tu kuona.
Ila kwa wenye nayo kuzarau yahadhari za barabarani ni hatari.
 
Back
Top Bottom