Ukiwa na V8, shangingi au 4WD ya kishua, heshimu tahadhari za barabarani

Ukiwa na V8, shangingi au 4WD ya kishua, heshimu tahadhari za barabarani


Jamaa kwa mazarau kaamua kuyapita magari mengine yaliyojisubirisha ili mkondo wa maji ya mafuriko yspite.

Kajiamini na 4 WD yake, na hakufika mbali.

Alipoteza kila kitu, nafikiri na maisha pia.
😅😅😅🤣🤣🤣🤣🤣 Mbona v8 la zamani sasa mkuu duuh watu washamba kweli angekuwa anatumia hili je👇👇👇👇👇

Sijui ingekuwaje
images (4).jpeg
 
Back
Top Bottom