Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Mwewe kasombwa na maji.
Jamaa kwa mazarau kaamua kuyapita magari mengine yaliyojisubirisha ili mkondo wa maji ya mafuriko yspite.
Kajiamini na 4 WD yake, na hakufika mbali.
Alipoteza kila kitu, nafikiri na maisha pia.
Kwangu V8 ni ile fahari ya macho tu kuona.Mwewe kasombwa na maji.
Ushawahi kupanda V8 mleta mada?!
Ngoja nikupe siri. Hilo dude ukilipanda automatikali levo ya kujiamini inapanda kwa asilimia 50. V8 acha iitwe V8.
Kilichotokea hapo ni ajali kazini tu.
View attachment 2657296
Lile litakuwa limeshikiliwa kisawasawa.Maji / Moto ni kitu ingine kabsaaa
Ivi Airbag huwa laweza chomoka kwa gari? nawaza ka lafaa kuogelea nalo?
Ushamba mzigo.Kupanda tu V8 ndio ujiamini kisenge namna hiyo?.Mwewe kasombwa na maji.
Ushawahi kupanda V8 mleta mada?!
Ngoja nikupe siri. Hilo dude ukilipanda automatikali levo ya kujiamini inapanda kwa asilimia 50. V8 acha iitwe V8.
Kilichotokea hapo ni ajali kazini tu.
View attachment 2657296
KumbeeJamaa mwishoni aliruka
Hukunipa pole yangu ya AlgeriaKumbee
Naunga mkono hoja V8 ni L300 V8 ni zaidi ya gari.Mwewe kasombwa na maji.
Ushawahi kupanda V8 mleta mada?!
Ngoja nikupe siri. Hilo dude ukilipanda automatikali levo ya kujiamini inapanda kwa asilimia 50. V8 acha iitwe V8.
Kilichotokea hapo ni ajali kazini tu.
View attachment 2657296
Pole sana mtani..sikukuona kabisa yani ulipoteaaHukunipa pole yangu ya Algeria