Ukiwa na V8, shangingi au 4WD ya kishua, heshimu tahadhari za barabarani


Jamaa kwa mazarau kaamua kuyapita magari mengine yaliyojisubirisha ili mkondo wa maji ya mafuriko yspite.

Kajiamini na 4 WD yake, na hakufika mbali.

Alipoteza kila kitu, nafikiri na maisha pia.
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£ Mbona v8 la zamani sasa mkuu duuh watu washamba kweli angekuwa anatumia hili jeπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Sijui ingekuwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…