"Wazuri hawafi"-Makamba seniorJe babu wa Bumbuli analizungumziaje hili na anamzungumziaje Chura kiziwi
Kutumbuliwa kwa hao jamaa sio mtaji kwa mama, bali watu wamefurahi maana hao jamaa walikuwa na nyodo. Bado wizi wa kura ndio silaha ya ccm ya ukweli.Habari zenu wana JF wenzang
Baada ya tumbua tumbua iliyofanyika jana, na kupelekea vijana wawili (maadui wa taifa) kutumbuliwa na mwenye nchi yake, inasemekana na kuonekana kabisa kuwa watumbuliwaji wameunda genge lao na kutuma vijana huku mitandaoni kwa lengo la kumpiga mkwara boss wao aliewatupa nje ya kazi zao.
Tumeshaona waliotumwa wamekuja na mikwara ya kwamba inawezekana vijana hao wakamkwamisha mwenye nchi huyo na namba 1 wa chama ktk kinyang'anyiro cha kumpitisha mgombea wa chama chao, pamoja na kile cha uraisi πππ
Ukweli ni kwamba hizo ni ndoto za alinacha kwa nchi ambayo mkuu wa nchi ndio mwenyekiti wa chama. Nikiwa na maana kwamba yeye ndio alifa na umega kuanzia kwenye chama na nchi, hivyo kumuangusha au kumuengua mtu wa aina hii ili asigombee uraisi kwa kujifanya eti wao ndio waliokulia kwenye chama ni kujidanganya wenyewe.
Nafikiri wote tunakumbuka Jinsi raisi na mwenyekiti wa chama aliepita hayati Dr John P. Magufuli alivyowapeleka puta vijana hao hadi kupelekea wengine kutambaa kutoka kwao hadi ikulu kuomba msamaha. Sasa itakuwa kwa huyu ambae ana baraka kubwa kutoka kwa baba wa chama (Kikwete) na support kubwa kutoka uraiani baada ya wananchi wengi kufurahia kutumbuliwa kwao!!
Narudia tena, Makamba na Nape hawana ujanja wala nguvu ya kupindua meza iliyopo ikulu iwe kiushawishi au kifedha. Wao watulie tu na kuwa waangaliaji wa mechi kama wengine walivyokuwa waangaliaji pindi wao walipokuwa bado wachezaji wa team ya mama.
Thanks kwa kunisoma.
Adui ni watu waroho waliojipenyeza humo sio hilo jina π³πADUI WA TAIFA HILI NI CCM WALA HAKUNA MWINGINE.
Hilo sio rahisi kutokea kama unavyofikiria.Kikwete anaumwa!
Sijui kama ile theory ya Mzee Makamba itafanya kazi
Unaelewa maana ya adui wa taifa mkuu au umekurupuka tu kuandika?Yaani hao wajinga wawili ndio wawe maadui wa kitaifa .?
Kipara aliiba mtihani wa kidato cha 4 na kufutiwa matokeo.
Nepi alipiga vibendera "F"vya kutosha akajipatia daraja la 4 lenye point 29 huku akipata hadi kibendera cha somo la uraia.
Japo Tanzania ina wajinga wengi hawa wawili hawawezi kuwa maadui wa taifa bali ni mfumo mbovu tu ndio umewabeba kufika hapo.
Hao wamefikia hapo kupitia technical who !
Adui wa kitaifa ni CCM na mtaji wa CCM ni wingi wa wajinga Tanzania.
Mkuu hebu punguza mihemko ya siasa, soma kwanza kwa makini kilichoandikwa ili uelewa maana ya uzi.Kutumbuliwa kwa hao jamaa sio mtaji kwa mama, bali watu wamefurahi maana hao jamaa walikuwa na nyodo. Bado wizi wa kura ndio silaha ya ccm ya ukweli.
Adui wa kwanza wa taifa ni UJINGAUnaelewa maana ya adui wa taifa mkuu au umekurupuka tu kuandika?
Hao wameharibu ila ni sehemu tu ya mfumo , mfumo ndio umewabeba hawa vilaza kuwafikisha hapo!Mtu yeyote akiwaharibia wananchi na nchi, basi huyo tayari ni adui wa taifa.
πππAdui wa kwanza wa taifa ni UJINGA
Ambao ndio mtaji wa CCM..
Hao wameharibu ila ni sehemu tu ya mfumo , mfumo ndio umewabeba hawa vilaza kuwafikisha hapo!
Maana ya huu uzi ni tofauti na ulichoandika, au ulikuwa na maana tofauti, ila ukashindwa kukieleza kwa ufasaha, lakina unataka majibu yatakayoendana na hisia zako?Mkuu hebu punguza mihemko ya siasa, soma kwanza kwa makini kilichoandikwa ili uelewa maana ya uzi.
Mimi nafikiri wew ndo umeelewa tofauti na kile kilichoandikwa.Maana ya huu uzi ni tofauti na ulichoandika, au ulikuwa na maana tofauti, ila ukashindwa kukieleza kwa ufasaha, lakina unataka majibu yatakayoendana na hisia zako?
Mmmh!Habari zenu wana JF wenzang
Baada ya tumbua tumbua iliyofanyika jana, na kupelekea vijana wawili (maadui wa taifa) kutumbuliwa na mwenye nchi yake, inasemekana na kuonekana kabisa kuwa watumbuliwaji wameunda genge lao na kutuma vijana huku mitandaoni kwa lengo la kumpiga mkwara boss wao aliewatupa nje ya kazi zao.
Tumeshaona waliotumwa wamekuja na mikwara ya kwamba inawezekana vijana hao wakamkwamisha mwenye nchi huyo na namba 1 wa chama ktk kinyang'anyiro cha kumpitisha mgombea wa chama chao, pamoja na kile cha uraisi πππ
Ukweli ni kwamba hizo ni ndoto za alinacha kwa nchi ambayo mkuu wa nchi ndio mwenyekiti wa chama. Nikiwa na maana kwamba yeye ndio alifa na umega kuanzia kwenye chama na nchi, hivyo kumuangusha au kumuengua mtu wa aina hii ili asigombee uraisi kwa kujifanya eti wao ndio waliokulia kwenye chama ni kujidanganya wenyewe.
Nafikiri wote tunakumbuka Jinsi raisi na mwenyekiti wa chama aliepita hayati Dr John P. Magufuli alivyowapeleka puta vijana hao hadi kupelekea wengine kutambaa kutoka kwao hadi ikulu kuomba msamaha. Sasa itakuwa kwa huyu ambae ana baraka kubwa kutoka kwa baba wa chama (Kikwete) na support kubwa kutoka uraiani baada ya wananchi wengi kufurahia kutumbuliwa kwao!!
Narudia tena, Makamba na Nape hawana ujanja wala nguvu ya kupindua meza iliyopo ikulu iwe kiushawishi au kifedha. Wao watulie tu na kuwa waangaliaji wa mechi kama wengine walivyokuwa waangaliaji pindi wao walipokuwa bado wachezaji wa team ya mama.
Thanks kwa kunisoma.
Nasema hivi, yote yaliwezekana kupitia baba yao msoga. Ila kama katika hili msoga hayupo upande wao basi watakufa kifo cha mende mgongo chini tumbo juu. Huyo Lowasa na umaarufu wake pamoja na fedha zake lakini Msoga alipoamua kumfanyia umafia jamaa alisafa akazurura kutoka chama kimoja kwenda kingine, mpaka mwishoni akaomba poo na kurudi kule kule kwa msoga akiwa mwenye adabu na utii hadi kifo chake, itakuwa hao vijana wa juzi wanywa mnazi.Mmmh!
Mimi sio mfuasi wa hao wapigaji wawili, lakini ni mapema mnoo kudhani huo ndio mwisho wao. Mimi naona huo ndio mwanzo wao, ni vijana wajanja janja mnoo kwenye siasa za kishenzi za CCM.
Walimtengenezea Magufuli urais wa kimchongo, wakamchimba mkwara akawararua lakini mwisho wa siku wakamlaza kaburini!
Kichwa chako cha habari inaonyesha ukiwa upande wa wananchi, lakini maelezo yako hapa unaonyesha anachotambia rais ni nguvu ya dola na tume isiyo huru ya uchaguzi na sio wananchi, ndio maana nikasema uzi wako una maana tofauti? Hata hivyo mimi nashangaa wanaosema hao unaowaita vijana wawili, kwanza sio vijana, na wala hawana uwezo wowote nje ya mbeleko ya vyombo vya dola inayopatikana kupitia madaraka ya urais.Mimi nafikiri wew ndo umeelewa tofauti na kile kilichoandikwa.
Kuna watu waliandika kuwa wale vijana wawili waliotenguliwa sasa hivi wanapanga njia za kumkwamisha aliewatengua ili asifanikiwe kupita aidha ktk kinyang'anyiro cha kumpitisha mgombea wa chama chao kugombea uraisi, au wakishindwa hapo basi wamkwamishe katika kinyang'anyiro cha uraisi wa JMT.
Sasa mimi ndo nimekuja kupinga hilo, kwa sababu katika chama chao mwenyekiti ana nguvu mno kuliko mtu yoyote ndani ya chama. Hivyo kupanga kumzuia huko ni sawa sawa na kujaribu kuudaka upepo kwa mkono kitu ambacho hakiwezekani na ukizingatia yeye ndio anaetaka kugombea.
Vilevile kumkwamisha katika uchaguzi mkuu ndo kabisa haiwezekani kutokana yeye ndio mgombea wa nafasi ya uraisi, yeye ndo anaeteua tume inayohesabu kura za uraisi na yeye ndio anaemteua mtu anaetangaza hayo matokea ya uraisi.
Hivyo kumkwamisha katika nafasi zote kwa upande wa chama na uchaguzi mkuu haiwezekani. Hilo ndio lengo la uzi. Na ndio maana nikatolea mfano yule alietambaa kwa magoti kutoka kwao hadi ikulu kuomba msamaha kwa mtu walietaka kujaribu kumkwamisha na matokeo yake wakajikuta wamekwama wao.
Mzee ni kama fisi anaengoja mkono uanguke autafune π€£π€£Aliwekwa kando tangu alipochafua hali ya hewa na kauli yake ile ya "Wazuri Hawafi".
Na huo ndio ukweli wenyewe. ππKichwa chako cha habari inaonyesha ukiwa upande wa wananchi, lakini maelezo yako hapa unaonyesha anachotambia rais ni nguvu ya dola na tume isiyo huru ya uchaguzi na sio wananchi, ndio maana nikasema uzi wako una maana tofauti? Hata hivyo mimi nashangaa wanaosema hao unaowaita vijana wawili, kwanza sio vijana, na wala hawana uwezo wowote nje ya mbeleko ya vyombo vya dola inayopatikana kupitia madaraka ya urais.
Hakuna mwanaccm yoyote anaweza kufanya hujuma dhidi ya mwenyekiti wa ccm ambaye mara nyingi ni rais, labda siku ccm itatoka madarakani, maana karibia wote ni watu wa kujipendekeza, na hutegemea hisani ya rais kuendesha maisha yao.
Hawana lolote wakiwa nje ya system !Mmmh!
Mimi sio mfuasi wa hao wapigaji wawili, lakini ni mapema mnoo kudhani huo ndio mwisho wao. Mimi naona huo ndio mwanzo wao, ni vijana wajanja janja mnoo kwenye siasa za kishenzi za CCM.
Walimtengenezea Magufuli urais wa kimchongo, wakamchimba mkwara akawararua lakini mwisho wa siku wakamlaza kaburini!
Hakuna cha kutengenezewa maneno wala nini. Wakati mungine wanasiasa mzuka ukizidi jukwaani hujikuta wanaropoka na kuongea hata yale ambayo hawakupanga kuyaongea.Hawana lolote wakiwa nje ya system !
Ila inawezekana kabisa wakawa wametolewa hapo walipokuwa kimkakati zaidi kutoka upande wa Maza au kutoka upande wa ndumila kuwili ili Maza atengenezewe barricade 2025 !
Najaribu kuunganisha dots
Yale matamshi ya Nape kule Kagera yalitoka kwa bahati mbaya au kwa makusudi ? ?!
Was it a set up ?
Kafanye hivi kisha sisi tutafanya hivi ili ionekane hivi ππ π
Am just thinking aloud π³π€ π
Time will tell ππ