Ukiwa na wananchi kwa upande wa nchi na Kikwete kwa upande wa chama, basi umemaliza. Nape na Makamba kwisha habari yao

Ukiwa na wananchi kwa upande wa nchi na Kikwete kwa upande wa chama, basi umemaliza. Nape na Makamba kwisha habari yao

Makamba;
Kujitutumua kwingi na kujiona ana uwezo mkubwa tofauti na uhalisia!
Mpigaji kwa sana kila eneo alilowekwa na huwa hana aibu ktk upigaji.
Mtu wa fitna na majungu ya kijinga.

Nape;
Mweupe kichwani na asiye na hekima wala busara.
Mpayukaji na siyetumia akili kuzungumza.

Bado Madehu
 
Uliogopa nini mkuu?
Au ulikuwa hauamini kama kuna kufa mpaka uliposhuhudia kifo cha chuma?
Kifo kipo tu na kila mtu atakutana nacho. !!
Ndio maana huwa tunawaambia wapumbavu waache kudhalilisha watu maana watakiona cha mtema kuni baada na kabla ya kufa 😳🙌
 
Makamba;
Kujitutumua kwingi na kujiona ana uwezo mkubwa tofauti na uhalisia!
Mpigaji kwa sana kila eneo alilowekwa na huwa hana aibu ktk upigaji.
Mtu wa fitna na majungu ya kijinga.

Nape;
Mweupe kichwani na asiye na hekima wala busara.
Mpayukaji na siyetumia akili kuzungumza.

Bado Madehu
Wote wajinga tu hao.
 
CCM ina circle kubwa ya wafitini, watagombana leo lakini ukija uchaguzi wafitini na wasio wafitini wanafanya mambo yao meusi wanarudi kufitiana baadaye...
 
Adui wa Tanzania ni mtanzania mwenyewe.

Nchi hii hata akipewa mtu asiekuwa na chama, kama akiamua kuipeleka hovyo ataipeleka hovyo tu.
Problem ni kile kitabu kikubwa, until then yoyote atakae pata madaraka at ongoza kwa similar style or worse
 
Problem ni kile kitabu kikubwa, until then yoyote atakae pata madaraka at ongoza kwa similar style or worse
Kwa ushauri wako unaona hicho kitabu kifanyajwe?

1. Kichanwe?

2. Kichomwe moto?

3. Kipunguzwe kurasa ambazo hazifai?

4. Au kiongezewe kurasa zingine?
 
CCM ina circle kubwa ya wafitini, watagombana leo lakini ukija uchaguzi wafitini na wasio wafitini wanafanya mambo yao meusi wanarudi kufitiana baadaye...
Kama bado muda wa kifo hata mtu akianguka na ndege atapona tu !
Lakini kama siku zimewadia kwa Kifo cha nyani miti yote huteleza 😳🙌🤠😇🤣
 
Back
Top Bottom