Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
- #121
Mkuu nje ni kuzuri, lakini kuwekeza nyumban ni vizuri zaidi maana mtu hauwezi kujua ya kesho.Safi mkuu naona umeshapata asset za kutosha kuonesha pale enbassy , ili uzame mazima na familiy huko ughaibuni watoto wasiwe wa Tz tena wasoem nje
Si unaona kina le mutuz wanazurula tu bongo, hii ni kwa sababu hawakuwekeza mapema nyumbani.