Ukiwa nje usiwaamini ndugu Bongo, ndoto ya kurudi nyumbani mazima imefifia kutokana na ujenzi hafifu

Safi mkuu naona umeshapata asset za kutosha kuonesha pale enbassy , ili uzame mazima na familiy huko ughaibuni watoto wasiwe wa Tz tena wasoem nje
Mkuu nje ni kuzuri, lakini kuwekeza nyumban ni vizuri zaidi maana mtu hauwezi kujua ya kesho.
Si unaona kina le mutuz wanazurula tu bongo, hii ni kwa sababu hawakuwekeza mapema nyumbani.
 
Mkuu nje ni kuzuri, lakini kuwekeza nyumban ni vizuri zaidi maana mtu hauwezi kujua ya kesho.
Si unaona kina le mutuz wanazurula tu bongo, hii ni kwa sababu hawakuwekeza mapema nyumbani.
The whole point ni kupata fedha kufanya investment, kupata exposure, kujiendeleza kielimu , na kuwafungulia watoto njia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…