sheremaya
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 3,334
- 7,651
Likija tangazo kwenye t.v. unaambiwa umebadili chaneli
Nmecheka hiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Likija tangazo kwenye t.v. unaambiwa umebadili chaneli
Usidondoshe glass wooiii...utaambiwa vunjaaa vyote maliza mamako si dangote..nyo'
Hahahahaaaaaa...Yote tisa usijambe bahati mbaya
Wote mko sahihi kukaa nyumbani muda mrefu wanaanza kukudharau
Utaambiwa una hela ya kujamba wewe...mxieeeYote tisa usijambe bahati mbaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Likija tangazo kwenye t.v. unaambiwa umebadili chaneli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani...!Mm niliwahi kuvunja chupa ya chai
Niliapizwa kwa kuambiwa,nikipata kazi tu,mshahara wangu wa kwanza
Lazima nilipe
Dah
Mbaya zaidi
Usilale mpaka saa mbili asubuhi
Ilikuwa Balaa
Naambiwa
Tony Blair,analala masaa manne
George Bush,analala Masaa matatu
Wewe ushuzi kunuka,unalala masaa 10!!!!
Yaani ilikuwa Ngonjera
Yote tisa usijambe bahati mbaya
we jamaaKama unaitwa Michael wanaanza kukuita Jamaa,
We jamaa
Uyu jamaa bado amelala
Uyu jamaa yupo wapi akanunue sukari
Uyu jamaa yupo wapi akajaze gas
Battery zikiisha kwenye remote utasikia huyu jamaa ameshaharibu remote
Utambiwa unakula sana siku hzYote tisa usijambe bahati mbaya
Unakuta baada ya kuona masimango yamezidi nyumbani, kijana aliyemaliza chuo kikuu huku akisubiria ajira alizoomba, anaamua kujiajiri kwa kuendesha bodaboda ili angalau asikose vocha ya kuendelea kutuma maombi, hapo hapo unakuta mzazi anamwambia sasa ukajitegemee. Kijana na hiyo bodaboda hata wiki hajamaliza. Vijana wanaotoka kwenye familia masikini na zisizo na wasomi wa angalau degree moja, wanakazi ngumu sana ya kutoboa hadi kuwa matajiri. Ila msikate tamaa, njia rahisi ukipata kibarua usiwajulishe kwenu, vinginevyo hutoboi ng'o.
HahahaaaaKama unaitwa Michael wanaanza kukuita Jamaa,
We jamaa
Uyu jamaa bado amelala
Uyu jamaa yupo wapi akanunue sukari
Uyu jamaa yupo wapi akajaze gas
Battery zikiisha kwenye remote utasikia huyu jamaa ameshaharibu remote