Ukiwa nyumbani halafu huna kazi

Ukiwa nyumbani halafu huna kazi

Mm niliwahi kuvunja chupa ya chai

Niliapizwa kwa kuambiwa,nikipata kazi tu,mshahara wangu wa kwanza
Lazima nilipe

Dah

Mbaya zaidi
Usilale mpaka saa mbili asubuhi
Ilikuwa Balaa

Naambiwa
Tony Blair,analala masaa manne
George Bush,analala Masaa matatu

Wewe ushuzi kunuka,unalala masaa 10!!!!

Yaani ilikuwa Ngonjera
Usidondoshe glass wooiii...utaambiwa vunjaaa vyote maliza mamako si dangote..nyo'
 
Kama unaitwa Michael wanaanza kukuita Jamaa,

We jamaa
Uyu jamaa bado amelala
Uyu jamaa yupo wapi akanunue sukari
Uyu jamaa yupo wapi akajaze gas

Battery zikiisha kwenye remote utasikia huyu jamaa ameshaharibu remote
 
Mm niliwahi kuvunja chupa ya chai

Niliapizwa kwa kuambiwa,nikipata kazi tu,mshahara wangu wa kwanza
Lazima nilipe

Dah

Mbaya zaidi
Usilale mpaka saa mbili asubuhi
Ilikuwa Balaa

Naambiwa
Tony Blair,analala masaa manne
George Bush,analala Masaa matatu

Wewe ushuzi kunuka,unalala masaa 10!!!!

Yaani ilikuwa Ngonjera
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani...!
 
Hii mada ipo kama utani lakini iwe na maana tusijekufanya ujinga huu kwa watoto..
Hujampa mtaji
Mzazi mwenyewe hohehahe bado unamuandama mtoto..

Siku mwanao anaropoka Baba yangu angekua magufuli
 
Unakuta baada ya kuona masimango yamezidi nyumbani, kijana aliyemaliza chuo kikuu huku akisubiria ajira alizoomba, anaamua kujiajiri kwa kuendesha bodaboda ili angalau asikose vocha ya kuendelea kutuma maombi, hapo hapo unakuta mzazi anamwambia sasa ukajitegemee. Kijana na hiyo bodaboda hata wiki hajamaliza. Vijana wanaotoka kwenye familia masikini na zisizo na wasomi wa angalau degree moja, wanakazi ngumu sana ya kutoboa hadi kuwa matajiri. Ila msikate tamaa, njia rahisi ukipata kibarua usiwajulishe kwenu, vinginevyo hutoboi ng'o.
 
Mkuu. Nimekuelewa sana.. Ahsante sana ujumbe mzurii.. Naomba unipe ufafanuzi kuwa ukipata kibarua kama unataka kutoboa kimaisha usiwajulishe kwenu, naomba hekima hapa

Back
Top Bottom