mwakajingatky
JF-Expert Member
- May 30, 2018
- 558
- 924
Humu sebleni panya amefia,ama kuna watu hawaogi nini,(mzee akirudi toka kazini)😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama unaitwa Michael wanaanza kukuita Jamaa,
We jamaa
Uyu jamaa bado amelala
Uyu jamaa yupo wapi akanunue sukari
Uyu jamaa yupo wapi akajaze gas
Battery zikiisha kwenye remote utasikia huyu jamaa ameshaharibu remote
Ukiwa Nyumbani Halafu Huna kazi
Hata Mtoto Akilia Tu Inaonekana Wewe Ndo Umemchokoza!
[emoji23][emoji23][emoji23]
Unaamshwa asubuhi sana unapewa maagizo ya kupeleka hela za mafundi site na nauli yako buku kwenda na kurudi.
Wazazi au walezi wanatofautiana sana uelewa. Wapo ambao huamua kwa makusudi kukubebesha majukumu ya kifamilia hata kabla hujakaa sawa. Fikiria mzazi anakwambia" inabidi uninunulie shamba mwanangu, linauzwa mil 7 tu. babako angalau wikiendi nipate pa kwenda" mshahara wako baada ya makato ni laki 5, mzee anataka shamba, ukisema kila mwezi umpe laki 3, itakugharimu miaka miwili, na ukitekeleza hilo ujue utabebeshwa jingine. aisee hutoboi. Jipange kwanza, then rudi uwasaidie wazee.Mkuu. Nimekuelewa sana.. Ahsante sana ujumbe mzurii.. Naomba unipe ufafanuzi kuwa ukipata kibarua kama unataka kutoboa kimaisha usiwajulishe kwenu, naomba hekima hapa
Hayaja kukutaUnajua mimi huwa napata wakati mgumu sana kumuelewa mtu pale anaposema eti amekaa nyumbani na hana kazi....!!??
Hii huwa inanipa wakati mgumu zaidi kutafakari kwamba, yaani huyu mtu anae kaa nyumbani kwanini hawezi kujishughulisha na chochote ambacho ni halal...??
haya ni baadhi ya mambo yanayopelekea mtu kujikuta yupo nyumbani na hana kaziUnajua mimi huwa napata wakati mgumu sana kumuelewa mtu pale anaposema eti amekaa nyumbani na hana kazi....!!??
Hii huwa inanipa wakati mgumu zaidi kutafakari kwamba, yaani huyu mtu anae kaa nyumbani kwanini hawezi kujishughulisha na chochote ambacho ni halal...??
Unajua mimi huwa napata wakati mgumu sana kumuelewa mtu pale anaposema eti amekaa nyumbani na hana kazi....!!??
Hii huwa inanipa wakati mgumu zaidi kutafakari kwamba, yaani huyu mtu anae kaa nyumbani kwanini hawezi kujishughulisha na chochote ambacho ni halal...??
Hayaja kukuta
maybe ndio ametoka kumaliza form four au form six,au anasubiria jambo fulani au ata darasa la saba...
haya ni baadhi ya mambo yanayopelekea mtu kujikuta yupo nyumbani na hana kazi
1. kukosa mtaji wa kuanzisha biashara au huduma fulani
2. kukosa uwezo wa kufanya kazi za nguvu
3. kukosa ujuzi, mfikirie fom 6 liver ambae kakosa chuo
4. kukosa connection za kupachikana, kama zile za benki tela, loan ofisa au customer care
5. watu wenye stress huwa hawapendi kufanya kazi kwakuwa muda mwingi huwa ni watu wenye hasira hasira, mtu wa namna hii anapaswa kufanya biashara inayomwacha peke yake, kama vile kuuza duka na sio kumpa kipindi akafundishe darasani, atapiga mtu hadi aue.
so zipo sababu. cha muhimu ni watu wanaomzunguka mtu huyo kumshauri cha kufanya na kumpa sapoti ya kifedha ikibidi.
Hakuna anae cheka hapa mkuu, huu ni ulemavu ambao vijana wengi wa Tanzania wamejijengea.endelea kushangaa na cheka sn ila omba yasikukute mkuu!
Hakuna anae cheka hapa mkuu, huu ni ulemavu ambao vijana wengi wa Tanzania wamejijengea.
Kimsingi ni kwamba, hautokaa ufanikiwe kamwe ikiwa hautokua tayari kuanza mabadiliko kuanzia kwako wewe binafsi. Na ikiwezekana ifike wakati muweke hizo bahasha na vyeti vyenu pembeni kisha miingie mitaani kusaka vibarua hata kwenye ujenzi wa majumba na barabara. Ukweli ni kwamba kijana wa leo anaejiliza kwamba hana connection, mtaji wala kazi.... Huyo namuona kama mvivu asie taka kufanya kazi yeyote ili apate hata mtaji mdogo wa kuuza matunda, ama kuuza hata mtaji kitaa.
Acheni kujiliza mkuu, na msipende kuombaomba kana kwamba ninyi ni walemavu.....
We ni raia wa Kenya, sio?!Mkuu, ikiwa wazazi wako walikupeleka shule na leo upo mtaani eti unalalamika kwamba hauna mtaji, basi jiweke kwenye kundi la vijana waliowatia hasara wazazi wao.
Naomba nijibu hoja zako kama ifuatavyo:-
1. Kukosa mtaji ni uzembe mkubwa na kimsingi hakuna mtu ambaye anaweza kupata mtaji kwa urahisi kama mnavyo dhania ndugu (nendeni mkabebe haya zege ama kuchimba mitaro ili mtaji upatikane)
2. Hakuna mtu mwenye anapenda kufanya kazi ngumu, na hasa vijana wengi wa kiTanzania ni wavivu wa kupindikua (vijana wa leo hawapendi kazi za mikono na wana madeko sana)
3. Sio wote wanao fanikiwa walipata ujuzi wa kazi za mikono. Na kukosa nafasi ya kujiunga ama kuchagukiwa chuo kikuu, hiyo haimaanishi kwamba basi ushindwe kuuza hata matunda mitaani ama kubrashi hata viatu.
4. Hakuna connection ambayo utaweza kuipata kama hauna mwenye atakushika mkono(hii isiwe kigezo kwa vijana na hasa ndipo hasa mnapaswa muanze kujipanga mapemza ikiwa unajua kwamba hauna connection).
5. Stress sio kitu kinacho kuja ghafla ndugu, kila jambo linahitaji utulivu na umakini ili kujikinga na mikwamo isiyo ya lazima kama kuwapa stress na desperation.
Wakati ninayaandika hayo, moja ya majibu nilio yatarajia ni pamoja na hili...tehWe ni raia wa Kenya, sio?!
Wa South AfricaWe ni raia wa Kenya, sio?!
😂😂😂😂😂😂😂nguvu za kujamba unazo ila za kutafuta kazi huna, kubwa jinga wewe!!