Nimekwambia weka namba hapa hutaki
Nimekwambia weka namba hapa hutaki
Nielekeze pls kuna bonus ya kuelekeza.
Huwa nachat na madanga mapya mtandaoni na kuyatapeli nauli
Ndio maana niligoma kukutumia nauliHuwa nachat na madanga mapya mtandaoni na kuyatapeli nauli
Mungu ni mkubwa, nawe kuna siku ulitapeliwa nauli pia![emoji81][emoji81][emoji81]
Ndio maana niligoma kukutumia nauli
Yangu hailiwagi bure ingekutokea puani japo ingeingilia kumaniNingeila ukomeee
Friends in real life
Haaa....kwamba unaogopa kwenda pm kwa kuogopa kutapeliwa....ngoja nikuelekeze. Pm ni hapo uliposimama then unanyoosha mbele halafu unakata kulia kwako utaona bango kubwa limeandika pmMe mgeni humu. Pm ndio wapi?
Sikiliza babulae,Kwanza PM maana ake ni Prince Mikazo,So ili kufika pita hii Wanchi wanchi knich knach.mbele mbele yao unapita hivi kwa kina Omary fas duas paa unakaa mafuta ya taa,,Imeisha iyo DingiiNielekeze pls kuna bonus ya kuelekeza.
Nikiwa mkweli kabisa kwenye hili huwa na practice ushirikina...
Chamdekoooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huwa nachat na madanga mapya mtandaoni na kuyatapeli nauli
I have got it, maana na yeye huwa na sema Ni Yuko Dodoma so are u.......Friends in real life