Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Ooh sawaMara nyingi ni mambo ya Lebanon Austria , middle East hayapostiki kibongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooh sawaMara nyingi ni mambo ya Lebanon Austria , middle East hayapostiki kibongo
Punyeto
Laaana tuli takhiburi alyekum salaaamPunyeto
Mama akoLaaana tuli takhiburi alyekum salaaam
Mama ako piaMama ako
Hii imenitokea juzi kati. Shenzi kabisa kile kidem.
Nipo zangu singidani.
Kakaniambia eti nimtumie nauli aje.
Si nikatuma 15k ili aje yeye anatokea dom.
Baada ya masa kadhaa akasema amezuiwa na mama ake.
Nilimlaani balaa.
Ila amenifundisha mengi sana.
Siku nikikamata NITAKILA pande zote shenzi kaze.
BR
UDUZUNGWA.
Aise rudisha iyo 4800[emoji23][emoji23][emoji23]Huwa nachat na madanga mapya mtandaoni na kuyatapeli nauli
[emoji23][emoji23][emoji23]Aise rudisha iyo 4800[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii sio haki
Tulichat vizur PM na baadae tukahamia whatsapp hadi video call. Tukakubaliana nikakutumia nauli mpaka leo kutoka hapo maji matitu kuja hapa tabata unanizungusha Leo week ya nne. Tafadhali rudisha hela yangu la sivyo nitajitoa muhanga nianike chat zetu za PM hata nikipigwa ban najua nitarudi...www.jamiiforums.com
Tulichat vizur PM na baadae tukahamia whatsapp hadi video call. Tukakubaliana nikakutumia nauli mpaka leo kutoka hapo maji matitu kuja hapa tabata unanizungusha Leo week ya nne.
Tafadhali rudisha hela yangu la sivyo nitajitoa muhanga nianike chat zetu za PM hata nikipigwa ban najua nitarudi baada ya siku kazaa.
Najua juzi kati ulikuwa na birthday hadi humu jeiefu wakakupongeza. Kama uliongezea mahitaji ya sharehe yako mimi nataka pesa yangu.
UPDATE.
Naona amenitext whatsapp alipoona huu uzi baada ya kunibuloku kwa wiki tatu. Sasa nasema hivi, pesa arudishe na riba ya 50 pasenti. La sivyo nakuja kuanika chat zako za pm. Nimekubali kupigwa bani maana nitapigwa bani na iko siku nitaudishwa.
Pipoooooooozi