Ukiwa pekeyako nyumbani huwa unafanya nini kama huna kazi?

Aisee siwezi kukaa hom bila ishu unachoka balaa, natoka nje najitenga kwenye kona ya nyumba demu akipita namla saundi hadi anaingia laini naenda kugonga ndani anapika nagonga tena, namruhusu nenda kwenu....... Waafrica bhana tunawaza tu ngono..
 
Nikiwa alone hua natafakari nikifa nafsi yangu kama itakua hai je itakua wapi. Na kabla sijazaliwa nilikuwa wapi
 
Singidan ulikuwa hotel ipi KBH au Regence
Hii imenitokea juzi kati. Shenzi kabisa kile kidem.
Nipo zangu singidani.
Kakaniambia eti nimtumie nauli aje.

Si nikatuma 15k ili aje yeye anatokea dom.
Baada ya masa kadhaa akasema amezuiwa na mama ake.
Nilimlaani balaa.

Ila amenifundisha mengi sana.
Siku nikikamata NITAKILA pande zote shenzi kaze.

BR
UDUZUNGWA.
 
Huwa nachat na madanga mapya mtandaoni na kuyatapeli nauli
Aise rudisha iyo 4800[emoji23][emoji23][emoji23]

Tulichat vizur PM na baadae tukahamia whatsapp hadi video call. Tukakubaliana nikakutumia nauli mpaka leo kutoka hapo maji matitu kuja hapa tabata unanizungusha Leo week ya nne.

Tafadhali rudisha hela yangu la sivyo nitajitoa muhanga nianike chat zetu za PM hata nikipigwa ban najua nitarudi baada ya siku kazaa.

Najua juzi kati ulikuwa na birthday hadi humu jeiefu wakakupongeza. Kama uliongezea mahitaji ya sharehe yako mimi nataka pesa yangu.

UPDATE.
Naona amenitext whatsapp alipoona huu uzi baada ya kunibuloku kwa wiki tatu. Sasa nasema hivi, pesa arudishe na riba ya 50 pasenti. La sivyo nakuja kuanika chat zako za pm. Nimekubali kupigwa bani maana nitapigwa bani na iko siku nitaudishwa.

Pipoooooooozi
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom